Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Ulaya barabara zote ni za kulipia.

Mkuu hata sisi tunalipia,MotorVehicle namengi yale sio kulipia? Sema tu kwamba wenzetu malipo yao yanafanyakazi vizuri hawana mchwa ccm kama kwetu hapa!
 
Tumalize kwanza lile Daraja la Dar - Zanzibar ..

Halafu tuke huko sasa kwnye Barabara za kulipia . !
 
Ndugu yangu weeee!! We tunza kumbukumbu kipande cha gazeti lenye hii habari....wajukuu zako watakuja kuisoma wajue kuwa iliwahi kutabiriwa na mtu aliyekuwa anaitwa magufuli!!

Hahahaaa!! ndugu si mpaka nikibahatika kuwa hai wakat daraja linakamilikaa :lol: :lol:
 
Serikali ya kipuuzi sana hii. Wameuwa reli sasa barabara zimewashinda kumaintain wanataka kuanzisha kodi za kipuuzi. Haiwezekani kuwe na barabara ya kulipia na ya kutokulipia halafu ziwe sawa kwa ubora.
Suala lingine ni serikali kushindwa kutengeneza barabara huu ni ujinga. Its better mkabinafsisha hata hiyo serikali yenyewe
 
mimi sijaelewa tunalipia na sisi tunaotembea kwa miguu au magari tuu
 
Serikali ya kipuuzi sana hii. Wameuwa reli sasa barabara zimewashinda kumaintain wanataka kuanzisha kodi za kipuuzi. Haiwezekani kuwe na barabara ya kulipia na ya kutokulipia halafu ziwe sawa kwa ubora.
Suala lingine ni serikali kushindwa kutengeneza barabara huu ni ujinga. Its better mkabinafsisha hata hiyo serikali yenyewe
ndo tatizo la kuongozwa na raisi dhaifu kama JK
 
Wadau;

....

Sanjari na mradi huo [wa kujenga daraja la juu ya bahari kutoka Coco Beach hadi Aga Khan Hospital, Dar], Dk. Magufuli alibainisha kuendelea kwa mchakato wa kutengeneza barabara ya kulipia kuanzia Dar es Salaam hadi Chalinze, kupitia ubia na Sekta Binafsi (PPP).

"Tulishatangaza zabuni na kampuni 19 zilijitokeza kuwekeza katika mradi huo na baada ya mchujo tumepata kampuni 12 ila kukawa na tatizo la kupata mtaalamu mshauri.

"Sasa ameshapatikana na tutasaini mkataba hivi karibuni ...". Alisema barabara ya sasa itabakia lakini hiyo mpya itakuwa ya KULIPIA.

Kwa hisani ya Mwananchi, Nov. 19, 2014.

Wadau; hii kitu imekaaje? Wajameni, miundombinu ya barabara sio jukumu la msingi la Serikali? Haya mambo ya PPP hadi kwenye mabarabara yamekaaje? "Wenzetu" wanafanyaje?

Mkuu kama hujui ni vizuri ukasoma (just google PPP concept) inavyofanya kazi.
 
Poa sana hiyo, ndo mtindo wa BOT, Build Operate and Transfer, kila mtu ni winner.
Hala hala wanaogonga miundombinu ya barabara, hapo semi private road unaacha gari kufifia uharibifu!
 
Kweli wewe husomi mbona Tanzania ndio tumechelewe hapo Malasya na Singapore tuliopata uhuru nao wao wameisha fanya hayo miaka 25 iliyopita
 
Acha kiudanganya watu, labda wewe hujakaa Ulaya umesimuliwa tu!

Barabara zinazolipiwa ni HIGH WAYS TU na sio zote.

Wewe mfikunyunyu nini? Magufuli anaposema barabara ya kulipia mbona wengine wanadhani serikali ni wezi?
 
Ngoja nianze kukusanya hela ya kuhonga kupata tenda ya kukusanya ushuru.!
 
ndo tatizo la kuongozwa na raisi dhaifu kama JK

Reli imekufa toka alipokuwepo huyo bwana wenu Mkapa sio kwa Jk tu na Jk ndio kajitahidi kwenye miundombinu hiyo kuliko rais yeyoyte Tz.
 
Wadau;

....

Sanjari na mradi huo [wa kujenga daraja la juu ya bahari kutoka Coco Beach hadi Aga Khan Hospital, Dar], Dk. Magufuli alibainisha kuendelea kwa mchakato wa kutengeneza barabara ya kulipia kuanzia Dar es Salaam hadi Chalinze, kupitia ubia na Sekta Binafsi (PPP).

"Tulishatangaza zabuni na kampuni 19 zilijitokeza kuwekeza katika mradi huo na baada ya mchujo tumepata kampuni 12 ila kukawa na tatizo la kupata mtaalamu mshauri.

"Sasa ameshapatikana na tutasaini mkataba hivi karibuni ...". Alisema barabara ya sasa itabakia lakini hiyo mpya itakuwa ya KULIPIA.

Kwa hisani ya Mwananchi, Nov. 19, 2014.

Wadau; hii kitu imekaaje? Wajameni, miundombinu ya barabara sio jukumu la msingi la Serikali? Haya mambo ya PPP hadi kwenye mabarabara yamekaaje? "Wenzetu" wanafanyaje?

Hizi highways ni muhimu sana na inatakiwa ziunganishe mikoa yote kwa kuanzia na zile bara bara zinazopitisha magari mengi kma DAR -MBEYA, DAR - ARUSHA na DAR - SHINYANGA.
Hii ya mwisho CHALINZE haina maana sana, yaweza kuwa aina nyingine ya IPTL, kwa sababu wamelenga kipande kifupi chenye magari mengi na wataweka gharama kubwa!
Wangeanza na km 500 at least kama DAR - IRINGA, DAR - MOSHI au DAR - DODOMA.
 
Acha kiudanganya watu, labda wewe hujakaa Ulaya umesimuliwa tu!

Barabara zinazolipiwa ni HIGH WAYS TU na sio zote.

Ni kweli highways. Na dar to chalinze its a highway so no big deal kama kutakuwa na barabara mbadala hata kama ya kulipia kwa watakaohitaji huduma hiyo maana hulazimishwi kuitumia, huku hii nyingine ya zamani ikipanuliwa pia ambayo itakuwa ya bure.
 
Hii nchi ya ajabu sana tuliambiwa barabara kuu zote kuelekea mikoani kutajengwa vyoo vya kulipia porini ili kupunguza OPEN DIFICATION kupunguza kusambaa kwa magonjwa yaenezwayo na kinyesi hiki kimeshindikana leo hii wanakuja na stori zingine na isitoshe Kikwete ana deni la ahadi kibao hajatekeleza leo hii wanaongeza ahadi zingine.
 
Back
Top Bottom