Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Mhh. Toka nazaliwa sijawahi kusikia high way zinabinafsishwa. Hii serikali itatuua, kodi wanazochukua wanapeleka wap?? Barabara za kuingilia nyumbani kwa watu ndo binafsi ndo zinalipiwa.
 
SERA ZA UCHUMI ZA CCM NI HATARI KWA MUSTAKABALI WA TAIFA.
Road license tunalipa ya nini?
200 Kwenye kila Lita ya petroli/ dizeli ni tozo ya Barbara je tunalipa ya nini?
 
Mhh. Toka nazaliwa sijawahi kusikia high way zinabinafsishwa. Hii serikali itatuua, kodi wanazochukua wanapeleka wap?? Barabara za kuingilia nyumbani kwa watu ndo binafsi ndo zinalipiwa.

Ujinga wetu ni kuiga kila kitu bila kuchunguza kwanza....Ipo toll charge kwenye barabara nchi za wenzetu lkn kunakuwa na mambo mengi ya kuzingatiwa....mfano mumejenga barabara mbadala ya kufika hapo chalinze isiyo ya kulipia...?mi nakwambia hawa wakwere mpk waondoke....tutaona mengi....
 
View attachment 187854 View attachment 187856

Serikali inafikiria kuipa sekta binafsi barabara Dar kwenda Chalinze kuijenga upya ,kwa mujibu ya muheshimiwa Omari Issa anayehusika na uwezeshaji na utekelezaji ofisi ya rais kama alivyoongea na kituo cha ITV katika kipindi cha dakika 45, alisema sekta iyo binafsi itapewa dhamana ya kukusanya pesa kwa magari yatakoitaji kupita katika barabara iyo ya kisasa itakayojengwa.

Serikali kama imeshindwa kuongoza nchi iwaachie wapinzani this is too much sasa Road licence tunayolipa kila mwaka ya nini sasa?
 
Kidumu chama cha mapinduzi...

Maana mawazo mengine sijui wanayatoa wapi

Anyway

Njia mbadala imejengwa? Au wanawaza kula vichwa tu?
 
Mbona nchi zingine zalipia road toll kwenye high ways na hawalalamiki kama sisi
 
Huo ni mfano tu wa mauza uza!! Sasa nasema ivii ukitoka kwnd kula bata utaacha 1000/- kwa balozi,mpk wahakikishe tumekauka,teeeheheheee

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
View attachment 187854 View attachment 187856

Serikali inafikiria kuipa sekta binafsi barabara Dar kwenda Chalinze kuijenga upya ,kwa mujibu ya muheshimiwa Omari Issa anayehusika na uwezeshaji na utekelezaji ofisi ya rais kama alivyoongea na kituo cha ITV katika kipindi cha dakika 45, alisema sekta iyo binafsi itapewa dhamana ya kukusanya pesa kwa magari yatakoitaji kupita katika barabara iyo ya kisasa itakayojengwa.

Huwezi kuwa Mweshimiwa huku ukijidharilisha kwa Wananchi.... Inatakiwa Wawe wanaitwa majina mabaya mabaya... Tuwape majina haya watu wa Dini pekee...
 
Watu wengine...??? Eti hata ulaya wanalipia!

Ndiyo, lakini kunakuwepo njia mbadala za kufika huko. Je, hali iko hivyo hapa bongo na hususani kwa bara bara hiyo? Je, wataweka option hiyo?

Mipango mingi utekelezaji sifuri. Yale mliyoa ahidi 2010 yamewashinda
Yale mliyokubaliana kama mipango ya Taifa 2015 hola
Yale ya 2025 implementation startegies/ preparations zero!
Kigamboni, zero!
Mipango miji Dar, sifuri
Maji mijini na kijijini sifuri
Bandari ya Bwagamoyo, sifuri
Bandari ya D'salam hola
Reli ya kati chali.... na barabara zinabomoka kwa sababu ya malori mengi kila leo mnashusha malori mapya!
Viwanja vya ndege vya kimataifa Kigoma, vipi status?
Huduma bure kwa wazee, hali ikoje?
Elimu je? au ndo mpango wa kupanua gori (BRN) ili hata kipofu (sorry) naye afunge gori???
Vipi kilimo kinacho beba watanzania over 80%, hali ikoje kwa maana ya upatikanji wa Matreacta na zana za umwagiliaji??!

Mipango ... mipango tu mdomoni! Sihasa hizi!? Shkuruni watanzania mliwanyima elimu hawajitambui!
 
Mbona nchi zingine zalipia road toll kwenye high ways na hawalalamiki kama sisi

Makubwa kujifananisha na nchi zilizoendelea... Nchi ambazo hadi Misaada zinatoa Tanzania yenyewe inahitaji misaada...
 
Back
Top Bottom