Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

Reli imekufa toka alipokuwepo huyo bwana wenu Mkapa sio kwa Jk tu na Jk ndio kajitahidi kwenye miundombinu hiyo kuliko rais yeyoyte Tz.
Endelea kumsifia mdhaifu mwenzako..
 
Ndugu yangu weeee!! We tunza kumbukumbu kipande cha gazeti lenye hii habari....wajukuu zako watakuja kuisoma wajue kuwa iliwahi kutabiriwa na mtu aliyekuwa anaitwa magufuli!!

nimecheka sana !
 
Reli imekufa toka alipokuwepo huyo bwana wenu Mkapa sio kwa Jk tu na Jk ndio kajitahidi kwenye miundombinu hiyo kuliko rais yeyoyte Tz.

Kwi! Kwi! Kwi!!! Hata uongo una taratibu zake mkuu .
 
Back
Top Bottom