mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 341
Naimani kati ya barabara zilizosahaulika kwenye kichwa cha Pombe na hata waziri wa ujenzi ni barabara hii. Kiasi kwamba ukiwa umeona au umeolewa maeneo hayo, halafu uambiwe upite barabara hiyo utajifikiria kwanza. Ni barabara jimboni kwa waziri wa Kikwete mzee Taison mzee wa kuendeleza mapambano mahakamani kudai haki bila vitendo. Leo tunae mwanamama na Kangi Lugola kelele bungeni wakati barabara leo hii haipitiki. Rais alipokuwa kwenye kampeni za mwisho Mwanza akasema "nikiingia madarakani nitawakumbuka " leo barabara kwenye mto Kasuguti imeharibika kabisa hakuna mawasiliano. Hii ndio Tanzania mpya.