truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 562
- 266
Duniani kote angalia sehemu wanazoishi watu weusi...ni za kusikitisha mpaka unajiuliza watu weusi ni wapi tulikosea
Heeee! Nuke us? Chinekeeeeeeeeeee!Every day I pray Donald Trump to Nuke us when he gets to power.
Ndio tatizo letu kusukumia lawama mahala pengine kuna watu kama ulivyoainisha hapo yote hayo hawajalaaniwa ila sisi.Nadhani mentor of slave kama alivyoimba Nesta marley inatuhusu na inajumuisha kujikomba na kutosimamia mambo yetu wenyewe ukija jumlisha ulafi na unafiq wa viongozi wetu bila kutizama kwa makini utakimbilia conclusion ya laana.Yani wale ambao kwao wenye kulawitiana wana haki zao,na bila aibu wanatulazimisha hadi na sie waafrika. Lakini bado wasilaaniwe ila tulaaniwe sie tu?
Na ww unamini hvyo kabsa? Vitabu vyote vya dini vnasema wayahudi wamekuwa wakimkosea mungu lakin mungu asiwaalan awalaani wafrika? Bac mungu atakuwa hana UpendoKwa sababu wayahudi walichaguliwa na Mungu by then na hata vitabu vya dini(kwa tunaoamini)vinaliongelea ilo,na vina simulia neema mbali mbali ambazo mayahudi walipewa na Mungu ikiwemo kuwa na Elimu kubwa sana na hata kula msosi toka mbinguni...wewe hata ndotoni hujawahi kuula huo msosi wa peponi.
Hizi zako sasa kufuru na wala sio sifa!tubu fastaLabda mungu ndio. Kalaaniwa,sababu kalaani wengine kawabariki.laana na imrejee yeye.unadhani afrika kwa ujumla wake ilimkosea nini mpaka kuilaani hivi.
Swali litakuja kwnn yote haya yalijitokeza Africa na sio mabara mengine?na mbona kuna mabara pia yalitawaliwa lkn hayapo kama ilivo africa?Hapana kuhusu qadar coz ukiisoma historia ya Africa uzuri utaona wale wapigania uhuru wa kwanza nyerere,kwame,sekou toure,lumumba,kaunda walikuwa wanakiamini walichokuwa wakikihubiri na ndo maana watakumbukwa kwa muda mrefu baada yao ndio wakaja hawa muflis wa nafsi ambao sio tu walafi isipokuwa wafujaji wa mali zetu.
Mkuu waliokalaaniwa si Waisrael?
Vipi tuangalie level ya maendeleo na kwetu nadhani tutapata jibu nini kinatusumbua Afrika ila kiukweli ni uzembe wa viongozi wetu, uongozi mbovu n.k
Unakumbuka lkn walichomfanyia Gadafi ktk moja ya izo nchi za north of africa?yale matendo yao utasema yanasababishwa na nini?Nchi za kaskazini mwa afrika zimepiga hatua kubwa sana ya maendeleo, kuna baadhi ya nchi huwezi kujua kama ziko afrika,siamini kama kuna laana ila kuna tatizo la uongozi tu
Mungu anasema Mayahudi wamekasirikiwa...rejea qur an 1:6-7Na ww unamini hvyo kabsa? Vitabu vyote vya dini vnasema wayahudi wamekuwa wakimkosea mungu lakin mungu asiwaalan awalaani wafrika? Bac mungu atakuwa hana Upendo
Umenikumbusha kule Zanzibar mkuu...Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.
Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.
Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.
Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.
Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.
Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Je. ikiwa mungu amewakacrkia umeshawahi kujiuulza mbona wao matajir? Na hakuna ktabu cha dini dunian kinachosema afrika imelaaniwaMungu anasema Mayahudi wamekasirikiwa...rejea qur an 1:6-7
labda uniombe nizidi kukufuru.Hizi zako sasa kufuru na wala sio sifa!tubu fasta