Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Hujui historia ya dunia. Mwafrika utajiri wake uliporwa na unaendelea kuporwa na wazungu. Watawala waroho wanatumiwa na wazungu kuendelea kupora kwa kisingizio cha misaada. Mungu wa kutoa laana ni huyo alie kichwani mwako anaekuzuia kufikiri kwa nini africa i nyuma na kukupa majibu ya mkato kuwa amekulaani. Kuwa na mawazo chanya, yatakusaidia.
 
NILISHASEMA SIKU NYINGI AFRICA IMELAANIWA.WALA USISUBIRI KUSOMA KWENYE BIBLE.HASA SUB SAHARAN CONTINENT,VIONGOZI VIONGOZI WANACHANGIA .UBINAFSI,UCHU WA MADARAKA RUSHWA NA UFISADI VITATUTAFUNA HADI MWISHO WA DUNIA HII.MIMI NA MKONO TRUMP KUWA TUNAHITAJI KUTAWALIWA UPYA.HATA UJE KWENYE HII THREAD NA MAPOVU.MIRADI WALIYOTUACHIA WEUPE IMEKUFA YOTE.SISI NI WA KAZI GANI??
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Kwenye hiyo laana na wewe umo !? ....... au ?
 
Kwa sababu wayahudi walichaguliwa na Mungu by then na hata vitabu vya dini(kwa tunaoamini)vinaliongelea ilo,na vina simulia neema mbali mbali ambazo mayahudi walipewa na Mungu ikiwemo kuwa na Elimu kubwa sana na hata kula msosi toka mbinguni...wewe hata ndotoni hujawahi kuula huo msosi wa peponi.
mungu aliwachague ili waje wamuulie mwanae !?....... aiseeh !?
 
sisi watanzania tulibahatika laana ya nyongeza ambayo ni CCM kidumu chama cha mapinduzi!
 
Back
Top Bottom