Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

tajir wa halali Africa angekua Europe ni mult trillionaire
 
Je. ikiwa mungu amewakacrkia umeshawahi kujiuulza mbona wao matajir? Na hakuna ktabu cha dini dunian kinachosema afrika imelaaniwa
mkuu japo hao watu wamekasirikiwa lakini Mungu hakuwapokonya neema alizowapa ikiwemo elimu...hawa msala wao upo siku ya hukumu kama miongoni mwao watakufa hali ya kuwa bado ni makafiri.
ni kweli hakuna kitabu cha dini kinachosema africa imelaaniwa,na ndo maana nikasema basi tuseme tu ni qadar za Mungu mwenywe kuwa africa inabidi iwe hivi ilivo kwa sababu anazozijua yeye mwenywe.
 
labda uniombe nizidi kukufuru.
mkuu badala yake nakuombea kwa Allah akuongoe ili uweze kuiona haki na uifuate na pia kuiona batili na uiache!Mungu akuongoze ktk njia iliyonyooka...amin.
 
Mwenyezi atazidi kulaani wote wanaoamini USHIRIKINA na asilimia kubwa ya waafrika wanaamini shetani badala ya Mungu.

Hivyo kupoteza mda mwingi kutafuta shirk na uchawi badala ya kufanya kazi kwa bidii na kutafuta maarifa zaidi ya kujiendeleza.

Eti jambazi auwawa akutwa na HIRIZI hayo ndio yanaturudisha nyuma.
Wengi wa waafrika wana chale za kila sehemu kama sio kifuani, shingoni au mikononi au pembeni mwa jicho.

Ukiuliza hii nini anakuambia kinga very strange people
 
Hivi mnategemea nn jipya kutoka bara analoishi Jecha?
 
Mwenyezi atazidi kulaani wote wanaoamini USHIRIKINA na asilimia kubwa ya waafrika wanaamini shetani badala ya Mungu.

Hivyo kupoteza mda mwingi kutafuta shirk na uchawi badala ya kufanya kazi kwa bidii na kutafuta maarifa zaidi ya kujiendeleza.

Eti jambazi auwawa akutwa na HIRIZI hayo ndio yanaturudisha nyuma.
Wengi wa waafrika wana chale za kila sehemu kama sio kifuani, shingoni au mikononi au pembeni mwa jicho.

Ukiuliza hii nini anakuambia kinga very strange people
Mkuu unajua unacho kiongea lkn?
 
Mungu jamaa ilaani Africa tatzo n kwamba hadi Leo Africa inatawaliwa sema ukolon Wa sasa ume be advanced tu
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Nakushangaa!!!hivi unajua kuna watu hatuamini ktk Mungu unayemuamini wewe??!!huyo Mungu unaemzungumzia wewe ni Mungu gani ambae mimi cmjui na wala hajapata kunilaani mimi?!!!
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Si kweli ila sema Wamelaaniwa waarabu wasiotengeneza kiberit wala sindano kazi kununua bunduki na kuua na kuchinja!! Afrika hatuna akili tu !! Akili inavokua ndogo ubinafsi unaongezeka!! Na kwa sababu wenzetu wanaakili ndo wanatukandamiza tusiendelee kwa kutumia moja za ulaya,bank ya dunia na njia kibao
 
Tatizo Kubwa Linalosababisha Waafrika kuwa kama tulivyo ni ELIMU,tuna wanaojiita Wasomi lakini kiuhalisia wanavyeti tu ila hawajaELIMIKA! Kuwa na Elimu na Kuelimika ni Pamoja na Kuyafahamu Mazingira Uliyopo na Kuyashinda,Kufail ktk Maisha Maana Yake Mazingira Yamekushinda Umeshindwa kuyajua na Uendane nayo Vp So Tumtafute Sana huyu ELIMU ili Tupate Maarifa!Tunaangamia Sababu Tumekosa Maarifa!
 
Kinachoendelea ni sumu iliyoganda katika vichwa vya waafrika kwaujumla wao........bado katika fikra zetu sisi ni watumwa na tunatawaliwa kifikra ........bado hatujatoka katika moshi mzito wa ukoloni.........Tupo katika kipindi kigumu sana cha mpito......ambacho kinaweza kuchukua vizazi ili kuleta mabadiliko tunayostahili.
Wakati wakina mkwawa wanapambana na wakoloni ndani ya fikra zao walikuwa ni wanaafrika wenye fikra huru na ndio maana kwao ajenda ilikuwa nikupambana na ajenda ya kuvamiwa na watu wasiowafahamu.....ila sisi ni sehemu ya madhara ya ukoloni......tunasahau kuwa story ya kizazi kilichopita iliishia na kumtoa mkoroni ili arejeshe uhuru wa katika ardhi yetu .......story yetu ilitakiwa iwe kuijenga afrika mpya na ya kisasa yenye maendeleo......ila jamii isiyo na falsafa moja huishia kutapanyika.......tumemeza tu historia kama simulizi ya kujibia mitihani badala ya chombo cha taarifa ya kutuelekeza kuwa tunakwenda wapi siku zijazo.........
Tuamke waafrika mbaya wetu si mtu mweupe........mbaya wetu ni upotofu wa fikra na kukosa falsafa ya wapi tunasimama pamoja na kuelekea......
Kama mnataka mabadiliko nitafuteni siku moja mnialike kama mgeni rasmi niwape speech moja itakayozibua mabichwa yenu hayo yasiyoelewa utadhani mlilogwa au mlipuliziwa moshi wa bangi ya lucifer...........
Africa today africa tomorrow.....forever we shall prevail.
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Hapo mwisho umeelezea huyo jamaa aliejiua kwa stress ila haujaeleza stress ilitokana na nini! Jibu ni kuwa alikuwa anaishi kwenye nchi unayodai ina neema kubwa huku kila alieko ndani akiishi maisha ya upweke!. Pamoja na elimu bure mpaka chuo kikuu lakini mwisho wa siku kila mtu anakuwa peke yake na stress zinawafanya wajiue! Huko Finland na nchi nyingine ulizowahi kwenda sifahamu kama una historia zao mahali walipotoka!. Kumbuka Afrika ilikuwa na mtizamo wake tofauti kabla ya kuvamiwa na watawala ambao walileta ustaarabu mpya ambao ndio huo tunaoujenga na kuufuata kwa sasa. Kwa hiyo kabla ya kulaumu pima na ujitambue ulikotoka na unakoenda!
 
mkuu badala yake nakuombea kwa Allah akuongoe ili uweze kuiona haki na uifuate na pia kuiona batili na uiache!Mungu akuongoze ktk njia iliyonyooka...amin.
amin kishingo upande,sasa mtu kashanilaani na bara langu vipi nimheshimu.labda mtoa mada hamzunguzii huyo unaemsemea.ila kama ni huyu wa mtoa mada utasubiri sana
 
Mungu hajatulaani ni sisi wenyewe tu mejilaani,kama watu wanashinda uchaguz wanaporwa ushindi ,watu wanajiongezea vipindi vya kutawala,huwez kwenda popote kimaendeleo,trump ashinde tu uchaguz huko america aje ainyoshe africa
 
Back
Top Bottom