Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Bara la Africa limelaaniwa na Mungu

Kama mungu katuleta hapa duniani ili kupata hayo maendeleo basi kweli tumelaaniwa japo sijui ni kipi tulichofanya hadi tulaaniwe na tulianza kulaaniwa lini?
Tuendelee kuchimba zaidi,ata mimi nahc ipo namna si bure kwa haya yanayoendlea Africa.
 
Kumbe mmelaaniwa haaa! Njooni niwombee laana ziishe nimepewa mamlaka ya kufuta laana
We mwenywe kipofu cjui utamuongozaje kipofu mwenzio(mwenye laana hawezi kumtoa laana mwenzke mpk ajitoe yy mwenyw kwanza)
 
Pamoja sana ndugu yangu yaani tumelaaniwa?nadhani laana unaipata baada ya kufanya kosa fulani je waafrika tumefanya kosa gani?hilo hitimisho ulilotoa la uongozi bora ndio tatizo letu.Palikuwa na minara zama zileee imeandikwa ili tuendelee twahitaji vitu vinne
Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi bora
Hivi viwili vya mwisho ndo havipo.
Umejiuliza kwa nini iyo siasa safi na uongozi bora liwe tatizo kwa Afrika tu?Nazani juu ya Afrika kipo kitu kimejificha nyuma ya pazia,au pengine tuaminio dini basi tuamini tu kuwa hizi ni Qudra na Qadar za M/Mungu kwamba ndivo alivokadiria toka anaumba hii dunia kwamb bara la Afrika inabidi liwe km ivi lilivo leo hii.
 
Yote ni sahihi lakini mwenye tabia hizo hata wewe umo pia,Ukiongelea wivu,roho ya kwanini,fitna,majungu,hiyo ni asili ya mwafrica na ndio laana hii aliotupa baba yetu NUHU sisi ni kizazi cha yule mtoto wa Nuhu alie chungulia uchi wa baba yake akiwa amelala.
Duuh,hii inaweza kuwa sababu eti ee!
 
uvivu ujinga na uchu wa madaraka wa viongozi wetu ndo unatutesa....

mungu hahusiki
 
Umejiuliza kwa nini iyo siasa safi na uongozi bora liwe tatizo kwa Afrika tu?Nazani juu ya Afrika kipo kitu kimejificha nyuma ya pazia,au pengine tuaminio dini basi tuamini tu kuwa hizi ni Qudra na Qadar za M/Mungu kwamba ndivo alivokadiria toka anaumba hii dunia kwamb bara la Afrika inabidi liwe km ivi lilivo leo hii.
Kuhusu qadar ya ALLAH hapana mungu ametupa akili na utambuzi na kabainisha njia imma ushukuru au ukufuru.Viongozi wetu wa afrika ni kama walisoma chuo kimoja na muhadhiri alie wafundisha mmoja ndo maana matatizo yetu yanafanana sisi africans by blood na nywele ngumu sisi matatizo yetu sijui yapo damuni ulafi na uroho ndo kitu kinachotufanya tuone tumeqadiriwa hivyo.
 
Dhumuni lako ni nn sana sana..kutuaminisha kuwa tumelaaniwa ama?
Laana anayo yy anaye ikubali.
Shida ya Africa ni uongozi bora, Mungu awezi kulaani Africa labda tulikosea nn mpaka ifike hiv..sidhani
Ndo tafuta chanzo cha haya yote lazima ipo sababu venginevo tuseme tu ndo kudra na kadri za Mungu toka anaiumba dunia kwamba Afrika ije kuwa hivi ilivo leo.huo uongozi bora umeanza kuhubiriwa lini lkn mpk leo bado haupo ndo kusema hautekelezeki au?kama mabara mengine yanayo huo uongozi bora na Africa tu ndo tunaukosa...there is smell of laana hapa or smthng of the same nature
 
Kuhusu qadar ya ALLAH hapana mungu ametupa akili na utambuzi na kabainisha njia imma ushukuru au ukufuru.Viongozi wetu wa afrika ni kama walisoma chuo kimoja na muhadhiri alie wafundisha mmoja ndo maana matatizo yetu yanafanana sisi africans by blood na nywele ngumu sisi matatizo yetu sijui yapo damuni ulafi na uroho ndo kitu kinachotufanya tuone tumeqadiriwa hivyo.
Mkuu kupewa akili hakuondoi Qadar ya Allah,kwa sababu maisha ya kila mwanadamu yalishaandikwa toka siku ya kwanza ya kuumbwa ulimwengu...sasa we huoni maisha ya waafrika pengine ndo yalikadiriwa yawe hivi yalivo leo?
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Mungu hajawahi kutulaani Afrika.

Afrika tumejilaani wenyewe, kama tungepewa nchi kama Poland ingekuwaje??
Vipi kama nchi ingekuwa imezungukwa na theluji muda wote wa mwaka???

Tuache kumsingizia Mungu
 
Labda mungu ndio. Kalaaniwa,sababu kalaani wengine kawabariki.laana na imrejee yeye.unadhani afrika kwa ujumla wake ilimkosea nini mpaka kuilaani hivi.
 
Mkuu kupewa akili hakuondoi Qadar ya Allah,kwa sababu maisha ya kila mwanadamu yalishaandikwa toka siku ya kwanza ya kuumbwa ulimwengu...sasa we huoni maisha ya waafrika pengine ndo yalikadiriwa yawe hivi yalivo leo?
Hapana kuhusu qadar coz ukiisoma historia ya Africa uzuri utaona wale wapigania uhuru wa kwanza nyerere,kwame,sekou toure,lumumba,kaunda walikuwa wanakiamini walichokuwa wakikihubiri na ndo maana watakumbukwa kwa muda mrefu baada yao ndio wakaja hawa muflis wa nafsi ambao sio tu walafi isipokuwa wafujaji wa mali zetu.
 
Hapana tusimuhusishe Mungu kwenye kila jambo baya ili hali ametupa akili na mamlaka ya kumiliki vyote huku dunian...Shida katika nchi zetu za Africa tumekosa SIASA SAFI NA UONGOZI BORA..
Dhumuni lako ni nn sana sana..kutuaminisha kuwa tumelaaniwa ama?
Laana anayo yy anaye ikubali.
Shida ya Africa ni uongozi bora, Mungu awezi kulaani Africa labda tulikosea nn mpaka ifike hiv..sidhani
Pamoja sana ndugu yangu yaani tumelaaniwa?nadhani laana unaipata baada ya kufanya kosa fulani je waafrika tumefanya kosa gani?hilo hitimisho ulilotoa la uongozi bora ndio tatizo letu.Palikuwa na minara zama zileee imeandikwa ili tuendelee twahitaji vitu vinne
Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi bora
Hivi viwili vya mwisho ndo havipo.
Kuhusu qadar ya ALLAH hapana mungu ametupa akili na utambuzi na kabainisha njia imma ushukuru au ukufuru.Viongozi wetu wa afrika ni kama walisoma chuo kimoja na muhadhiri alie wafundisha mmoja ndo maana matatizo yetu yanafanana sisi africans by blood na nywele ngumu sisi matatizo yetu sijui yapo damuni ulafi na uroho ndo kitu kinachotufanya tuone tumeqadiriwa hivyo.
tatizo la africa ni wananchi wake na sio viongozi tu, kwa kua viongozi wanatoka kwenye kundi hilohilo la wananchi
 
Uwa najikuta naingia kwenye dhambi moja ya tu ya kwa nn Mungu aliniumba niwe sehemu ya africa
 
Yani wale ambao kwao wenye kulawitiana wana haki zao,na bila aibu wanatulazimisha hadi na sie waafrika. Lakini bado wasilaaniwe ila tulaaniwe sie tu?
 
laana ya waafrika ni ujinga wanaoukumbatia ndio unaifikisha afrika hapa ilipo.

kwa ujinga huu waafrika wanabaki kuiangalia china na kusema miaka ya sitini tulikuwa pamoja na wachina lakini leo hii mchina amewaacha ameingia kwenye utajiri wao bado wako kule kule.

kwangu mimi nasema miaka ya 60 hatukuwa pamoja na mchina kwani ingawa hali ya kimaisha ilikuwa inalingana pengine lakini mchina alikuwa na mipango sisi hatuna, mchina alikuwa anachapa kazi sisi tunalea uvivu. huwezi kuwalinganisha watu wawili mkulima aliyelima na hajavuna na ambaye hana kitu.

ujinga huu ndio unatufanya tufikirie kuishi kama matajiri wakati sisi ni masikini na matokeo yake ni kutumbukia katika umasikini zaidi. namaanisha huduma hizi unazozitaja hao wafiniland wamefikia uwezo wa kuzitoa baada ya kuwekeza katika uzalishaji na faida inayopatikana wanaitumia kuwapa huduma wananchi wake.

waafrika tukiacha kukumbatia ujinga tutawaza kuzalisha kwanza na si huduma za bure kama waliotutangulia bali tutawekeza kipato chetu kidogo katika kuwajenga wetu kuzalisha na tukipata faida tunaweza kutumia kugawana kupitia huduma.

Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
 
Ni ukweli usio na ubishi wowote kuwa bara la africa lililaaniwa na Mungu.
Huu ndo ukweli halisi ambao ni wapumbavu tu wanaweza kuukataa.
Haiwezekani nchi zote 55 za africa zenye raslimali za kila aina na ambazo hakuna bara lolote duniani linazo.

Taifa lina dhahabu, gesi, ardhi nzuri Kwa kilimo, almasi, bahari, maziwa, misitu, lakini eti bado ni maskini na ombaomba. Ghadaffi alipojitahidi Kwa akili zake zote kuinua uchumi wa libya hadi Libya ikawa haidaiwi na taifa lolote,wananchi wake wakamuua kikatili Kwa point feki ya kukaa madarakani muda mrefu, zote hizo ni laana.

Kama mwenyezi Mungu ametupatia raslimali zote hizi na bado hazitusaidii, hiyo ndo laana zenyewe sasa. Baraka Zipo Kwa mtu mmoja mmoja Kwa kadri anavyoamua kumtegemea Mungu Kwa akili zake zote. Hakuna baraka za taifa ila kuna laana ya taifa.Viongozi wa afrika ni walafi, wabinafsi, Wachoyo, wezi na makatili, hawaijui kesho ya raia wao.

Nilibahatika kuishi Finland miaka mitatu, Kwa utaratibu wa maisha ya hawa watu, hata iweje hatuwezi kuwafikia.Raia wa Finland wasio na ajira hupokea posho ya kupunguza ukali wa maisha kila mwezi.

Wanyonge hutibiwa bure, na kusomeshwa bure kuanzia kindergarten hadi chuo kikuu. 60% ya ardhi ya Finland ni maji na 40% ndo nchi kavu, hawana raslimali, wanategemea viwanda waliyovipta Kwa shida, Finland husaidia nchi kibao za africa.Viongozi wa africa wapo tayari kuuwa watu ili watawale, ni mlolongo Wa laana.

Huyu ni mtoto anayeviziwa kuliwa na tai akifa, Sudan, mwandishi Kevin Carter aliyefanikiwa kupiga hii picha alijiua baadae Kwa stress, mtoto huyo alikuwa akijongea kwenye kambi ya chakula.
Mkuu waliokalaaniwa si Waisrael?

Vipi tuangalie level ya maendeleo na kwetu nadhani tutapata jibu nini kinatusumbua Afrika ila kiukweli ni uzembe wa viongozi wetu, uongozi mbovu n.k
 
Back
Top Bottom