Bar ya Lady Jaydee kufungwa, mwenyewe afunguka

Bar ya Lady Jaydee kufungwa, mwenyewe afunguka

Nadhani hiyo ndio sumu inayoongelewa, kushindwana ndani ya ndoa sio ajabu ila yeye kama mfanya biashara alipaswa kuwa na akili ya kibiashara zaidi...ipo mifano mingi ya watu kuhitilafiana kimapenzi na kubaki kama business partners....

Hata clouds wangesaidia biashara zake za bar na muziki (band), kuendekeza chuki nao kunamfaidi nini ?

CHUKI HUISHA BANA na watu ku move on.

Mambo mengine ni rahisi sana kuyaongea ila kuyatenda ni shida.
Kumnyenyekea mtu ni kipaji.
Wakati mwingine ni bora kufuata yako yakikushinda utajua mbele ya safari!
 
Two heads are better than one Gadner alikua anamsaidia sana tu. Ndo alikua nguzo iliyokua inamsaidia kufanya vitu mwenyewe ngumu lazima uwe na assistance.

As if duniani hakuna watu wanaoweza kuwa na msaada kwake. Ukiwa dependant kupitiliza nayo si nzuri. Biashara walifanya pamoja. Kila mmoja amejifunza kitu kwa mwenzake. Wapo waliopata matatizo kama hayo wake kwa waume na wengine kufiwa na wenza wao lakini wamesimama imara. Mimi najua Gadner ata move on na Jide pia, because I believe in God.
 
Mshamba tu hide wanawake wengine akili zao kuachana ebu mwangalieni zariii
 
Uhuru pik pamechoka toka jamaa afe pia yule Jirani yake ndo kafunga na kauza kwa msukuma flani hivi ambae sasa anauza kila kitu ameshindwa biashara. Njoo MK mwambie Madame B akuletee tucheze sebene la kizamani pale

Mitaa yeTu Hiyo miaka ya 95-2005,mambo ilikua Mango,Mk,Masai ya mkwajuni,Pachoto,Jo burg contena mtaa wa Mafere,Bonga Bar,Kiria asubui kula supu kichwa mbuzi.Hizi zilikua baa za Uwanja wa nyumbani.kila baa kuna glass yako spesho.bila kusahau viepe vya gizani pale kwa bi farashuu jirani na Madame B.
Hapo bado Magomeni,Buguruni,Morocco au Makaburini kino.
Bata aliliwa Enzo Hizo mpk analia bwaaa.
 
Last edited by a moderator:
Gadna aliondoka na kamzizi kake.

Gadner alikua ndio mpango mzima juu ya hiyo business though mtaji ni wa jay dee…biashara ina mipango yake na tatizo biashara za siku hizi zinaendeshwa ki company zaidi kama huna net work nzuri ya marafiki wanaorandana na business yako inakua ngumu sana…imagine mtu ana duka la nguo kinondoni lakini mteja anatoka bunju kuja kununua nguo kino jiulize kapita maduka mangapi mazuri mwenge?sasa km hii biashara ya pombe ndio kabisa bar na pub nzuri zipo kila kona lakini naamini wateja walikua wanamfuata mlevi mwenzao G_habash hapo nyumbani lounge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom