Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Mngemtia nakosi...mie nisingekubali.
Mango garden wameniruhusu kuingia juzijuzi tu hapa...nilianzisha mtiti almanusura tuuze nchi.
Hivi vidada dada vya kuja vinajifanya vinajua sana kuliko sie wazawa.
Nipo aisee mishe tu. Duuuh huo mtiti sababu nini au Prado? Na Jana nmemkuta katimba kipasnaa kama mfanyakazi wa benki cjui alitokea kwako kukuletea juisi