Bar nyingi zipo empty

Bar nyingi zipo empty

Wakuu Heri ya Pasaka

Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni

Hali ikoje huko kwenu!!???

Duu mkuu una roho ngumu watu wanakutolea macho Umekauka! Hata mimi nipo nyumban nachek series kikubwa maisha yaende!
 
ajaribu kutembelea the great park, forty forty, kwetu pazuri, nderingo peace of mind na kazalika ndo atajua kama kuna ukata au vipi?

Mkuu wewe upo wap mm nipo hapa the great tunazungusha tuu...
Mkuu nipo Mara-Musoma Kwa Baba wa Taifa huku
 
Hali si shwari mifukoni ila nimeshangaa kuna sehemu kama tatu nimepita watu wamejaa kwenye banda la kuonyesha mipira ya Ulaya nadhani hiyo imekuwa ndio mbadala wa ulevi...
 
Wakuu Heri ya Pasaka

Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni

Hali ikoje huko kwenu!!???
Tupiamo tupicha
 
ajaribu kutembelea the great park, forty forty, kwetu pazuri, nderingo peace of mind na kazalika ndo atajua kama kuna ukata au vipi?

Mkuu wewe upo wap mm nipo hapa the great tunazungusha tuu...
Sijachelewa kutoka mkuu. Nilipita hapa Makirikiri(Kinyerez) wakati natoka mjini,huku kila eneo bar za Tabata zikiwa nyomi.
 
Hahahaaaaaa mkuu niwekee picha ya hiyo K vant Duh walevi nawapenda sana sijui kwa nini huwa situmii
 
Soma Uzi mwingine humuhumu unasema Morogoro Balimi zimekwisha.

Uzi mwingine unasema unasema Sinza Bar zimejaa sana na viti mpaka barabarani.

Sie wengine Tuko Bungu Pwani tunaomboleza askari wetu 8 waliouwawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom