Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 697
- 655
Vichwa vitawaumaMkuu hapa nilipo tumechanga watu wawili kununua balimi moja.
Vichwa vitawaumaMkuu hapa nilipo tumechanga watu wawili kununua balimi moja.
Mkuu pole na mama.Zipo
Asante sanaMkuu pole na mama.
Hao wengi ni waku bet wanaangalia maendeleo ya mikeka yao mkuuHali si shwari mifukoni ila nimeshangaa kuna sehemu kama tatu nimepita watu wamejaa kwenye banda la kuonyesha mipira ya Ulaya nadhani hiyo imekuwa ndio mbadala wa ulevi...