Bar hii sintakunywa tena!

Bar hii sintakunywa tena!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,302
Heshima mbele wakuu! leo ninazungumzia upuuzi unaofanyika katika bar moja iliyopo wilaya ya kindondoni jijini Dsm ( Jina naihifadhi ). Mmiliki wa bar ni graduate kutoka chuo kimoja maarufu hapa mjini..Kwa sisi wadau tunaoishi karibu na bar hii huwa tunaenda pale kwan ajili ya kumsapoti tu jamaa na kubadilishana mawazo na wadau wengine..But kuna suala la kijinga sana linalofanyika ndani ya bar hii ambalo kama mmiliki asipokuwa makini, atakosa kabisa wateja...Hapo kwenye bar yake huwa kuna midume inakwenda pale kupiga soga, ( ipo kumi na mbili hivi na ushee ),, hawana hela ya kununua vinywaji, ukitokea mteja pale basi jamaa wanakufuata na kukuzoea zoea huku wakikuomba uwanunulie bia and all that,wakati mwingine wanaomba kununuliwa chakula ( " Kaka leo sina mzuka na pombe kabisa, coz nina dozi, ila napiga chips mayai, mishikaki miwili na soda moja tu! " ) hii ni sentensi ambayo binafsi nimekwisha tamkiwa zaidi ya mara tano na mmoja kati ya hao ma hardless poor excuses of male persons.....Wakati mwingine, jamaa huwa wanawanunulia watu wengine bia kwa kutumia bili za watu wengine. Kwa mfano, siku moja nimeenda pale na wadau wangu, kama kawaida jamaa wakajisogeza kwenye meza, na kuanza kujichekesha huku wakiomba bia, tukawapiga bia, baada ya kama dakika arobaini hivi, wakaja raia wengine kama wawili ( ambao wanajuana na hao majamaa ), jamaa mmoja akatoa order " weita wape bia mbilimbili hao jamaa, bili kwa hawa hapa ( anatusonta sisi ). Hii imeshatokea zaidi ya mara kumi na mbili.. Tumeshamlalamikia sana mwenye baa, tukimuomba apige marufuku hiyo tabia, but bila mafanikio yoyote, sasa tumeamua kutokwenda tena katika baa ya huyu jamaa, tangu tuazimie jambo hili ni mwezi mmoja sasa umekatika, na sio sisi tu, kuna wateja wengine wengi tu wameshakimbia baa, kuanzia alhamisi ya juzi jamaa amekuwa akitutext na kutupigia twende kwenye bar yake but tumekwisha kuwa disapointed......

ITS SO DISAPOINTED KUMUONA KIJANA WA KIUME AKIWA ANAOMBA OMBA VITU NA HELA KWA WANAUME WENZAKE...KAMA MAISHA YA MJINI YAMEKUSHINDA NENDA KIJIJINI UKALIME..SHAME UPON YOU, POOR EXCUSES OF MEN!
 
dUH HII KALI! NGOJA WAJE WALEVI WENZIO WACHANGIE, MI SIMO!. BADALA YA KUTULIA NA WAKE NA WATOTO ZENU NYUMBANI NYIE MNAGAWA TU MAOFA!
 
Mwambieni huyo mshkaji wenu wa chuo/mmiliki kuhusu huu upuuzi,....au mnamugwaya...mmmm?
 
ndo maana idadi ya wanaume ni ndogo......maana wanaume suruali wengi.....mwanaume utaombaje beer kwa wanaume wenzio?
 
.........Jamani ulevi ulevi kweli uleevi jamaa kalewa na hataki kutaja jina la bar ... anaishia kulalamika tu...
 
Hizi ni kampany za kuendekeza, unashindwa nini kusema hapana, na huyo mhusika akajua umesema hapana ya kumanisha toka moyoni.

Kuhama sio suruhu, imagine ukutane na walalahoi wengine huko uendapo, na mwisho utaacha kupata kinywaji kwa afya yako kisa vibwengo watu vya kwenye bar, mkuu komaa, linda pesa yako unajua mwenyewe jinsi gani unavyoipata, na matumizi pia unajua mwenyewe.
 
.........Jamani ulevi ulevi kweli uleevi jamaa kalewa na hataki kutaja jina la bar ... anaishia kulalamika tu...

Sitaji jina kwa sababu za kiethics kaka
 
Hali hiyo inasikitisha sana! Sijawahi kusikia upuuzi kama huu. Wanaume wa dizaini hii hawafai. Ndiyo hao ambao hawachelewi kugongwa wakikuta yale mamende yaliyokubuhu.

Mwenye baa acha acheke na mbwa kutahamaki yupo jalalani.
 
Unamuogopa nani hapo?graduate wa mjini wakati wewe ni form four ya shamba!wape makavu huna fedha ya kuwanunulia,unakimbia bar kwa sababu hizo!

wewe ni mmojawao nini?
 
ndo maana idadi ya wanaume ni ndogo......maana wanaume suruali wengi.....mwanaume utaombaje beer kwa wanaume wenzio?

Wengine wanapiga simu wanasema wanaomba wanunuliwe bia! kha! halafu ni wanaume watu wazima, nyambaf sana!
 
Kuwa assertive. Sema sio na umaanishe hivyo. Mbona wengine hatupati hilo tatizo. Sio bar tu mahali popote hata kwangu ukija bila appointment utaishia geteni.
 
Heshima mbele wakuu! leo ninazungumzia upuuzi unaofanyika katika bar moja iliyopo wilaya ya kindondoni jijini Dsm ( Jina naihifadhi ). Mmiliki wa bar ni graduate kutoka chuo kimoja maarufu hapa mjini..Kwa sisi wadau tunaoishi karibu na bar hii huwa tunaenda pale kwan ajili ya kumsapoti tu jamaa na kubadilishana mawazo na wadau wengine..But kuna suala la kijinga sana linalofanyika ndani ya bar hii ambalo kama mmiliki asipokuwa makini, atakosa kabisa wateja...

ITS SO DISAPOINTED KUMUONA KIJANA WA KIUME AKIWA ANAOMBA OMBA VITU NA HELA KWA WANAUME WENZAKE...KAMA MAISHA YA MJINI YAMEKUSHINDA NENDA KIJIJINI UKALIME..SHAME UPON YOU, POOR EXCUSES OF MEN!

Mkuu, hadi sasa sijaelewa lengo lako hasa la hii thread ni nini. Maana kama unataka tusiende hiyo baa wala sie hatuijui. Inawezekana unawaambia wenye baa kati yetu wana JF wasiendekeze hizi tabia katika baa zao. Au unatufunda tusiwe tunaenda baa kuomba bia na chakula?
 
Yaani mtu unakimbia bar ya karibu kisa unaogopa fisi maji wasiokuombe beer? Mtoto wa kiumeni komaa nao wape makavu tu au unaogopa utaambia umefukia
 
Heshima mbele wakuu! leo ninazungumzia upuuzi unaofanyika katika bar moja iliyopo wilaya ya kindondoni jijini Dsm ( Jina naihifadhi ). Mmiliki wa bar ni graduate kutoka chuo kimoja maarufu hapa mjini..Kwa sisi wadau tunaoishi karibu na bar hii huwa tunaenda pale kwan ajili ya kumsapoti tu jamaa na kubadilishana mawazo na wadau wengine..But kuna suala la kijinga sana linalofanyika ndani ya bar hii ambalo kama mmiliki asipokuwa makini, atakosa kabisa wateja...Hapo kwenye bar yake huwa kuna midume inakwenda pale kupiga soga, ( ipo kumi na mbili hivi na ushee ),, hawana hela ya kununua vinywaji, ukitokea mteja pale basi jamaa wanakufuata na kukuzoea zoea huku wakikuomba uwanunulie bia and all that,wakati mwingine wanaomba kununuliwa chakula ( " Kaka leo sina mzuka na pombe kabisa, coz nina dozi, ila napiga chips mayai, mishikaki miwili na soda moja tu! " ) hii ni sentensi ambayo binafsi nimekwisha tamkiwa zaidi ya mara tano na mmoja kati ya hao ma hardless poor excuses of male persons.....Wakati mwingine, jamaa huwa wanawanunulia watu wengine bia kwa kutumia bili za watu wengine. Kwa mfano, siku moja nimeenda pale na wadau wangu, kama kawaida jamaa wakajisogeza kwenye meza, na kuanza kujichekesha huku wakiomba bia, tukawapiga bia, baada ya kama dakika arobaini hivi, wakaja raia wengine kama wawili ( ambao wanajuana na hao majamaa ), jamaa mmoja akatoa order " weita wape bia mbilimbili hao jamaa, bili kwa hawa hapa ( anatusonta sisi ). Hii imeshatokea zaidi ya mara kumi na mbili.. Tumeshamlalamikia sana mwenye baa, tukimuomba apige marufuku hiyo tabia, but bila mafanikio yoyote, sasa tumeamua kutokwenda tena katika baa ya huyu jamaa, tangu tuazimie jambo hili ni mwezi mmoja sasa umekatika, na sio sisi tu, kuna wateja wengine wengi tu wameshakimbia baa, kuanzia alhamisi ya juzi jamaa amekuwa akitutext na kutupigia twende kwenye bar yake but tumekwisha kuwa disapointed......

ITS SO DISAPOINTED KUMUONA KIJANA WA KIUME AKIWA ANAOMBA OMBA VITU NA HELA KWA WANAUME WENZAKE...KAMA MAISHA YA MJINI YAMEKUSHINDA NENDA KIJIJINI UKALIME..SHAME UPON YOU, POOR EXCUSES OF MEN!

Nomba ufike pale NBC CLUB au zamani zetu GEORGE'S GRILL ndio utajua mizinga ya baa ikoje! Pole lakini ila fundisho dawa ya mizinga kaa counter
 
Back
Top Bottom