Kwetu kiumeni TMK huwa tunawaita mainzi, yaani kumpiga mwanaume mwenzio mzinga unaona u-sharp??Lazima nianze kwa kusema samahani sana kama nitakuudhi kwa ushauri wangu! Jamaa kama wewe hujulikana kwa jina la kebehi kama ''mlenda''. Yaani watu wa dizaini yako wana ule upole uliopitiliza (umechanganyika na ushamba) na mara zote unakuta uso unang'aa ng'aa kwa jasho la mafuta mafuta na hawaishi kukenulia watu meno. Sasa mtu wa dizaini yako mtoto wa mjini hakuangalii mara mbili kujua zoba hiloooo! Ndio maana wanakupiga mzinga na wakija marafiki zao, wanaagiza, halafu wanasukumizia oda kwako. Jaribu kuwa serious usichekecheke na mpe mtu laivu. Jivue gamba la ushamba la sivyo kuna siku utadaiwa kodi kwa sababu unatembea mchana wa jua kali!
Hapa swala sio uanaume... swala ni ''zoba kaaaaa jaaaaaa, pakua wali wa jaaaaaaaaa'' Na usipoangalia utavuliwa suruali vilevileKwetu kiumeni TMK huwa tunawaita mainzi, yaani kumpiga mwanaume mwenzio mzinga unaona u-sharp??
Kwanini unune bar? Mtu anayekuomba bia mara nyingi ni yule anayekufahamu, na mtoto wa kiumeni haombi bia hata ikiwa krismasi na hana kitu ni bora ampige mtu nondo ya kichwa.
Kama nakuona vile .... huwa tunawaita mainzi, ila ukijichekesha kidogo na kuanza stori za Arsenal na Man U, huwa tunawaita mapaka wa baa!! lol, gangamala wewe, mji una watu milioni nne ... perfect city to hustle, in the whole of sub saharan Africa. Lets get this monie and smash these hot broads.Hapa swala sio uanaume... swala ni ''zoba kaaaaa jaaaaaa, pakua wali wa jaaaaaaaaa''
Sitaji jina kwa sababu za kiethics kaka
ndo maana idadi ya wanaume ni ndogo......maana wanaume suruali wengi.....mwanaume utaombaje beer kwa wanaume wenzio?
BADILI TABIA mbona fyataga mbona Asprin hues ananipiga mzinga ?