antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,051
- 133,332
"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini? | JamiiForums Tanzania "Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?ndio kwanza naisikia , uilete!
"Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini? | JamiiForums Tanzania "Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?ndio kwanza naisikia , uilete!
Kitambo sana we jamaaa daaah aiseeenkafikiri ulitekwa Poor Brain dronedrake
Hawa watangazaji uchwara wa siku hizi hajitambui wala hawa aibu ni hovyo sana.Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo umelipata tokea wapi?
Watoto na mume watawaza kitu gani ?
Picha gani ya kwanza itakuja kwa mabinti zako na wajukuu waliofunga chuo na shule?
View attachment 3601713
TCRB au wala rushwa tu wamejazana pale??Well and good. TCRA wapo tu, hili neno halina ladhan kwenye sikio wala kutamka. Wajukuu zangu wamefunga shule, mmoja akaniuliza "bibi bao la asubuhi " ni nini, nikampotezea kama sijasikia, nikajuta kufungua hiyo stesheni!
Cha asubuhi 😂Utamu wake upoje thibitisha
Hapana , TCRA wana weledi, sema labda hawajasikia hili likipindi.TCRB au wala rushwa tu wamejazana pale??