Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

Sio kwamba hawajui maana yake, wanajua sana tu hawa watangazaji wa hicho kipindi ila walitaka kuvutia vijana kwenye hicho kipindi. Ni ubunifu wa jina la kipindi wa hovyo sana
 
Interpretation yako ndio inaona ni tusi.... hayo maneno hayana matusi yoyote !

Nje ya mada, asbh mumeo huwaga anaamsha popo ?
 
Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo umelipata tokea wapi?

Watoto na mume watawaza kitu gani ?
Picha gani ya kwanza itakuja kwa mabinti zako na wajukuu waliofunga chuo na shule?

View attachment 3601713
Wahuni tu,
Ni kama ile sijui ndiyo kauli mbiu ya Benki ya Crdb:
"KITU KIMESIMAMA"
 
Mimi na ma mkwe wangu kila siku asubuhi huwa tunaamka na bao la asubuhi na bongo fm,safi kabisa,tena mama mkwe huniambia "baba njoo kwenye bao la asubuhi au umesahau?"
 
Niliwahi kuuliza pia hapa kama wimbo wa kibamia wa kina Roma ulifungiwa, Nyegezi wa Diamond ukafungiwa kwa nini hiki kipindi kinaruhusiwa kurushwa. Basata walitumia vigezo gani kuzifungia hizo nyimbo na tcra wanatumia vigezo gani kukiacha hewani hiki kipindi?
 
Back
Top Bottom