Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

Screenshot_20220206_194731.jpg
 
leteni hiyo clip niwachambulie kama ni offside ama sio offside

usilete still pictures leta video
 
Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).

Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.

Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.

Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Unaweza kutuletea hiyo kanuni inavyojitetea kwa tukio lile?
 
Unatisimulia utazani TV unayo peke yako, Miamala FC na ndio maana mnaliliaga sana viporo mpate kuvinunua vizuri.

Ila nilichogundua kuchukua ligi ya Tz usajili pekee yake hautoshi inabidi uwe na kamati ya miamala, ikishafika dk 70 unauandaa muamala kama hutapewa tuta basi red card kama sio red card goli la offside, msimu huu kwa style hii mnachukua tena kombe.
 
Lile ni goli kabisa ....

ila Kuna watu wanakaza fuvu humu ...
Lile ni goli sababu refa kalikubali ila kwa sheria za mpira lile sio goli, limekubaliwa sababu refa ndiye mwamuzi wa mwisho na hamna sehemu ya kukata rufaa.

Hongereni Miamala FC.
 
Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).

Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.

Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.

Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Pale uliposema... nanukuu........ picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea.... mwisho wa kunukuu.. MPAKA KUFIKA HAPO, KWANINI FILIMBI YA KUOTEA HAIKUPIGWA? FILIMBI INAPIGWA MCHEZAJI AKIOTEA, WHY ILISUBIRIWA OFFDIDE IVUNJWE...!?
 
Kama ni ivyo mjiandae pia kwa magoli Kama ayo mengi tu kutoka upande was pili na mnatakiwa kufunga midomo yenu pindi itakapokuwa inatokea, hii michezo ya kipuuzi itawatokea puani
 
We ni mpumbavu sana uchambuzi mandazi

Nani amepiga pasi? Unaweza kupiga pasi vile? Wabongo mnaua mpira kwa sababu za ushabiki.

Pumbavu zenu litimu libovu ngoja muone caf mtakavyochezea vya kutosha.
Acha matusi mkuu

Nafurahi kuwa umetambua kuwa ile sio pass bali ni shoot, ngoja nifufundishe usichokijua
Screenshot_20220207-081607_Instagram.jpg

Hapo kagere yupo kwenye offside position, matukio yafuatayo yangetokea ingekuwa ni offside,

Hilo shoot kama lingegonga mwamba nakurudi ingekuwa ni offside
Kama kipa angepangua huo mpira nakurudi uwanjani ingekuwa offside
Kama kagere angehusika na huo mpira kuugusa ama kuukwepa ingekuwa ni offside

Na kama ingekuwa ni pasi linesman angeshanyoosha kibendera mapema
 
We ni mpumbavu sana uchambuzi mandazi

Nani amepiga pasi? Unaweza kupiga pasi vile? Wabongo mnaua mpira kwa sababu za ushabiki.

Pumbavu zenu litimu libovu ngoja muone caf mtakavyochezea vya kutosha.
Hizi hasira za nini si bado mnaongoza ligi? weka hapa sheria ya offside tuisome sio kumwaga mitusi wacha ushamba
 
Acha uzwazwa, deflection haivunji offside.
Kubalini kua mmebebwa, lile ni goli la mchongo na pale ni taifa ambapo huwa mnasema hatoki mtu, jitafakarini wanasimba laa sivyo hata kubebeka hamtobebeka tena.
 
Hivi wewe andazi ulitaka refa apulize filimbi wakati Pape anapiga shuti!! kwani yeye ndio alikuwa offside? na kama sio yule beki wa Mbeya kwanza ule mpira kagere asingeupata.
Pale uliposema... nanukuu........ picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea.... mwisho wa kunukuu.. MPAKA KUFIKA HAPO, KWANINI FILIMBI YA KUOTEA HAIKUPIGWA? FILIMBI INAPIGWA MCHEZAJI AKIOTEA, WHY ILISUBIRIWA OFFDIDE IVUNJWE...!?
 
Hivi wewe andazi ulitaka refa apulize filimbi wakati Pape anapiga shuti!! kwani yeye ndio alikuwa offside? na kama sio yule beki wa Mbeya kwanza ule mpira kagere asingeupata.
Kwanza embu eleza yule beki wa Mbeya kwanza ule mpira ulimgonga au aliucheza?
 
Back
Top Bottom