SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,615
- 24,411
Usije ukasahau kauli yako "GSM anaua mpira" ikitokea upande wa pili. Sawa mzee?lakini maumivu yako pale pale

Unaweza kutuletea hiyo kanuni inavyojitetea kwa tukio lile?Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).
Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.
Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.
Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Unatisimulia utazani TV unayo peke yako, Miamala FC na ndio maana mnaliliaga sana viporo mpate kuvinunua vizuri.Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).
Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.
Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.
Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Lile ni goli sababu refa kalikubali ila kwa sheria za mpira lile sio goli, limekubaliwa sababu refa ndiye mwamuzi wa mwisho na hamna sehemu ya kukata rufaa.Lile ni goli kabisa ....
ila Kuna watu wanakaza fuvu humu ...
Pale uliposema... nanukuu........ picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea.... mwisho wa kunukuu.. MPAKA KUFIKA HAPO, KWANINI FILIMBI YA KUOTEA HAIKUPIGWA? FILIMBI INAPIGWA MCHEZAJI AKIOTEA, WHY ILISUBIRIWA OFFDIDE IVUNJWE...!?Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).
Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.
Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.
Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Tafuta maana yaSo if a defender plays a poor pass, and that pass is intercepted by an opposition player who was in an offside position, it would not be offside.

Kama ni ivyo mjiandae pia kwa magoli Kama ayo mengi tu kutoka upande was pili na mnatakiwa kufunga midomo yenu pindi itakapokuwa inatokea, hii michezo ya kipuuzi itawatokea puaniMchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).
Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea, lakini kwa kuwa shuti hilo lilimgonga beki wa Mbeya Kwanza wakati akitaka kuokoa, ndipo hapo akavunja offside kwa Kagere.
Kagere ambaye alikuwa katika nafasi ya kuotea, kwa kitendo hicho cha beki wa Mbeya Kwanza inamaanisha alikuwa sahihi kuuwahi mpira na kuucheza kisha Mugalu akaugusa na kisha Chama akafunga.
Hivyo, bao la Chama ni halali kwa sababu offside ilivunjwa kwa mujibu wa kanuni ya kuotea na ndiyo maana mwamuzi ameruhusu bao hilo kuwa halali katika mchezo wa Jumapili Februari 6, 2022.
Deflection ta nani? kama ni opposition player inavunjwa iko hivyo dunia nzima, wacheni kulialia, hamjiamini mnatetemekaaBabu, kisheria offside haivunjwi na Deflection. Chutama tu.
View attachment 2110566
Acha matusi mkuuWe ni mpumbavu sana uchambuzi mandazi
Nani amepiga pasi? Unaweza kupiga pasi vile? Wabongo mnaua mpira kwa sababu za ushabiki.
Pumbavu zenu litimu libovu ngoja muone caf mtakavyochezea vya kutosha.
Hizi hasira za nini si bado mnaongoza ligi? weka hapa sheria ya offside tuisome sio kumwaga mitusi wacha ushambaWe ni mpumbavu sana uchambuzi mandazi
Nani amepiga pasi? Unaweza kupiga pasi vile? Wabongo mnaua mpira kwa sababu za ushabiki.
Pumbavu zenu litimu libovu ngoja muone caf mtakavyochezea vya kutosha.
Nipe source ya hii kitu nikaichambue mwenyewe, mna stress sana hamkawii kutengeneza visheria vyenu vya uchochoroni ili mjiliwaze.Nipe tafsiri hapa mkuuView attachment 2110671
Pale uliposema... nanukuu........ picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti lililosababisha bao hilo ni kweli Kagere alikuwa katika nafasi ya kuotea.... mwisho wa kunukuu.. MPAKA KUFIKA HAPO, KWANINI FILIMBI YA KUOTEA HAIKUPIGWA? FILIMBI INAPIGWA MCHEZAJI AKIOTEA, WHY ILISUBIRIWA OFFDIDE IVUNJWE...!?
Kwanza embu eleza yule beki wa Mbeya kwanza ule mpira ulimgonga au aliucheza?Hivi wewe andazi ulitaka refa apulize filimbi wakati Pape anapiga shuti!! kwani yeye ndio alikuwa offside? na kama sio yule beki wa Mbeya kwanza ule mpira kagere asingeupata.
Tutetetemeshwe na timu inayohaha kwa Mbeya Kwanza?Deflection ta nani? kama ni opposition player inavunjwa iko hivyo dunia nzima, wacheni kulialia, hamjiamini mnatetemekaa