nasepa, niende siasa kwa baba watoto.
nasepa, niende siasa kwa baba watoto.
Inafaa iyo, dingi alinipa wosia, aliniambia , utamu sio lazima ulambe hata ukiguna tu basi imetoshaSukari haina ila ina ladha ya utamu.
Mimi wala sio mchokozi kihivyo. Mara nyingi huwa nachokozwa. Na nikichokozwa it's on. We'll go rounds.
Sitaki uzi ufungwe ila nitashangaa usipofungwa maana hawa watawala na viranja wa JF huwa hawapendi kukosolewa (ingawa wao nahisi watakuwa na mtazamo tofauti).
Ila kwa vile nimeshasema kuwa nitashangaa kama uzi hautafungwa, sitashangaa pia wakiuacha uendelee ili kuonyesha tu nilikuwa na makosa katika kusadiki kwangu kuwa utafungwa.
Tusubiri tuone.
Jumatatu sa mbili kamili nikukute pale chini ya mti... Uje na kaunta 4 ...
Anagawa kuna mahali niliona memba wanalalamika kawagawia ban bila masikhara..
Hehehe....na sheria ya pipi ukilamba shurti ugune...Inafaa iyo, dingi alinipa wosia, aliniambia , utamu sio lazima ulambe hata ukiguna tu basi imetosha
Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hii
Unasalimiwa na Bwana Sadiki, Mzee Al-Hodari, pamoja na Kinacho.
Sasa acha nilog out mida za kwenda kujifanya kuangalia wagonjwa ili upate msosi wa bure anaoletewa mgonjwa hizi.
Mjini apa bana, si kila mwenye kitambi anafanya kazi ofisini.
ntakimbia muda si mrefu hapa.
Pananitisha sana.
Hehehe, kipipi za kuambiwa changanya na zako mwaya, kloro ana nia ya kukupoteza jeiefu..Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hii
Nikuokoe au nianze kutangaza biashara? Unasema watu wanayotaka. . . YANAKUA!!Lizzy niokoe
kila nalosema lawa kweli.
Afu umepotelea wapi?(sauti ya ukali)
Ooops! nilikosea spelling, sore, hali yako honey?
Jana nilikuota tunalishana parachichi, nikaamka nikalia kama zoba. Lizzy utaniuwa jamani
Konnie umeshajua una kipaji. . .acha kukichezea.Jamani, natangaza rasmi kuondoka Uzi huu.
Ntachanganyikiwa lol
Lizzy naye hana hata msaada lol
hehehe hawa mods wetu samtaim wanauchapa kabla brekfast. Kuna kipindi walimlima jamaa Ban jukwaa la introduction kule. Ile jamaa anajitambulisha tu akalambwa cha uso hata post mbili hakufika. laleki!
Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hii
Hehehe, kipipi za kuambiwa changanya na zako mwaya, kloro ana nia ya kukupoteza jeiefu..
Konnie umeshajua una kipaji. . .acha kukichezea.
Embu niitie binti mmoja hivi na babaye wote ni member humu.