Ban kwa kila ANAYESTAHILI. . .
Go mods!!!
Ooops! nilikosea spelling, sore, hali yako honey?Lawyer. . .Loya. . .Lowya. . .
Lol, kwani wewe ndie baba watoto wa kongosho?.Baba watoto ukimaanisha Bwa'Nchuchu?
Mimi watu wote wakipigwa ban nitavumilia lakini wakikupiga ban wewe kipipi hakyanani hapo ndio JF watajua kama niliwahi kufanya kazi maikrosoft ofis
ni kifupisho cha mheshimiwa? au umeguna?Mh....
Baba watoto ukimaanisha Bwa'Nchuchu?
he he he, ujue hii pipi kimjiti hivyo?
Wee chezeiya.
Mh klorokwini... Ukikufa utakuwa hayati sio marehemu..ni kifupisho cha mheshimiwa? au umeguna?
hahahahaaa......leo kongosho naona jumba bovu limekuangukia swaiba wangu!!!
Mimi watu wote wakipigwa ban nitavumilia lakini wakikupiga ban wewe kipipi hakyanani hapo ndio JF watajua kama niliwahi kufanya kazi maikrosoft ofis
Sukari haina ila ina ladha ya utamu.Si inayo sukari lakini au?
Bora Lizzy kaja.
Lizzy gentleman amesema anakuja kutulinda.
Na anamkwara haswaa!hahahah.....we wape tu hamu ya kunipiga ban wapate kushuhudia huo mkwala wako!!
Mh klorokwini... Ukikufa utakuwa hayati sio marehemu..
Hahahahahaaaa! Kongoshooooo!!!!!Nimesema wapi?
Nimesema wapi?
Hahahahahaaaa! Kongoshooooo!!!!!
Unalo leo!
Usisahau kuisema na ile uliyoifanya mchana wa leo wakati jua linawaka..Dah! acha nikatubie zambi zangu ndogo ndogo
Tayari nimewasiliana nao na wameogopa, wamesema wewe hata ukitukana hautopigwa ban. Sasa uko free kuwatukana kongosho, sweetlady n.k. unaweza ukaanza hata kwenye sredi hii hiihahahah.....we wape tu hamu ya kunipiga ban wapate kushuhudia huo mkwala wako!!