Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu.
Habari za muda huu JF members, kwa walio wahi kupitia hii kadhia mlijinasua vipi pia naomba kujua kwa undani kwanini tunakua banned as a spam ilihali hatupo hivo sababu hasa hua ni ni asante karibuni kwa michango yenu. View attachment 3158067
Nimewahi kuchezea ban la maana account yangu ya kwanza niliambiwa namba yangu haitoruhusiwa kutumia whatsapp tena. Ikabidi nifungue account nyingine tu asee sikuwezi uikoa ile account