Uzalendo kwanza,hii benki nakwambia will be the best benk in Tanzania,kama ni mtu wa kufuatilia taarifa za kibenki hapa Tanzania utagundua ni benki ambayo inafanya vizuri bila ya kuwa na boost kama hizo Benki mnazosifia,CRDB inamkopo Mkubwa ndio inatambia kwa sasa ilikuwa inategemea fedha za serikali,NMB boost inatoka ile Benki ya kiholanzi,na nyingine zilizo juu yake zote ni boost tu ndio zina ishi,kutokana na inteligesia yangu Hawa jamaa wanatakiwa kutoa taarifa wanapoboresha huduma zao ndio kitu ambacho hawakifanyi,Leo toka asubuhii nimetumia ATM zao na nimepata Huduma,ni sawa na kuanzia juzi nani alipata huduma ya LUKU?watu tumehangaika sijasikia kama walikuwa wanahamisha mitambo yao toka jengo lao lililopo barabarani.Watanzania wenzangu kabla hatuja lalamika ni lazima tutafute taarifa inawezekana walitangaza sisi hatukusikia.Sitetei uzembe ila natoa rai,tuulize kwanza kabla ya kulalamika,Benki ya TPB toeni Matangazo ya kutosha mnapo upgrade system zenu kwa ajili ya huduma kwa muda mrefu watu waelewe.Binafsi nikisoma balance sheet yenu hata Benki zenye majina makubwa haziwafikii na hakuna hata Benki moja ya serikali inayowafikia.Ni mimi Mteja mtiifu na mfuatiliaji uchumi wa taasisi za fedha Tanzania.