Njoo Stanbic, mie miaka 5 sasa, kutuma hela nje, kupokea, safi tu, Visa card unachukua ktk ATM za NBC, CRDB nadhani na Barclays (ila sijajaribu) ingawa Branches ni Dar, Mwanza, Arusha na Moshi, hivyo inakuwa accessible karibu nchi nzima.
Kwakweli hizo withdrawal charges ndo sijacheck ni ngapi, ila monthly charges kubwa bila taarifa kama Barclays sijawahi ona. Foleni sio sana labda Pamba House mwisho wa mwezi kuweka hasa mchana, lakini vinginevyo hamna shida yoyote kwa miaka hiyo 5. karibu.