Bank ya NBC mitambo yake ina kwikwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank ya NBC mitambo yake ina kwikwi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Fidel80, Jul 22, 2009.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naweza sema leo karibia siku 4 au 5 Bank ya NBC katika baadhi ya matawi yake system zimelala jumla kila ukienda unaambiwa system hazijaamka. Sasa sijui watu wa IT wa hii bank ni wachovu au vp mfano tawi la Kichwele jengo jipya system zimelala tokea Jmosi tr.18 July mpaka hivi sasa haziaamka tawi la Samora system zilipata kwikwi toka jana mpaka leo hii huduma hakuna.
  NBC jamani vp au ndo kufulia? Watu tunamaliza sole za viatu kuja kupata huduma lakini tunaambulia neno system hazijaamka badilikeni jamani tatizo la kwikwi kwenye system yenu sasa ni sugu wanawashinda hata NMB jamani wkt kwenu mmesheni wataalam kibao.
   
 2. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  system zao mbovu, juzi nilisota kutafuta ATM inayofanya kazi kwani matawi ya ATM yao yalikuwa yanatoa ujumbe huu ukiweka kadi "the cannisters are not working"
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa kwakweli wanachosha sana ATM zao pesa inawahi kuisha mapema yaani hawafanyi kazi kwa kujituma cha kushangaza utakuta hapo hapo bank nje kuna ATM utakuta haifanyi kazi sijui wakoje mi nahama kabisa hii bank.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Siku za week ndo iwa inakuwa balaa unaweza ukazunguka mpaka uchoke.
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Karibuni Standard Chartered Bank! It is very reliable!!!
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii ni benki ya wenye nazo maana bank charges zao ziko juu mno. Kwahiyo mwenye kipato kidogo atalia.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je ndo mwanzo wa 'kufulia'???? Karibuni CRDB
   
 8. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ....cheap can be expensive mazee!! Sina nia ya Matangazo hapa lakini karibu: StanChart/KCB
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu wanajili kweli watu wa IT au ndio wale ma IT Specialist and nini sijui consultant? hiri ri nchi rife tu......mbona vijana wengi wana magamba ya uhakika hawawapi kazi?

  Nasikia CRDB wana out source mtaalam wa kurekebisha system zao toka India....sijui kweli? kazi ambayo hata IT specialist i'm sure anaweza kuifanya akilipwa vema......
  fidel toa pea zako huko bora uzichimbie ndani kwako......
   
 10. GP

  GP JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nani huyu wa hapa JF au?
   
 11. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda wizi wa kwenye ATMs ni sababu ya NBC kusitisha matumizi ya ATM zake?
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapana huduma zao tu ni za kusua sua sijui kwa nini.
   
 13. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sorry mkuu, I am enjoying with CRDB and NMB wala sina tatizo kabisa.
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Ohooo, huna habari Kasheshe. Stan Chat (kama tuiitavyo tulio wengi) wanakamua tofauti na matarajio yako. Hasa wale wanaochukua mikopo benki hii wanaweza kukuthibitishia tatizo kubwa la benki hii.

  Same stuff, CRDB kuna skendo likiibuka wengi mtafunga akaunti zenu!

  Mh, mkuu wataalam wa NBC ndio hao baada ya kuwepo topic moja inayowagusa hapa JF waliamua kuwazuia wafanyakazi wao wasiweze ku-access JF kabisa na websites nyingine isipokuwa Google na Yahoo!

  Hawa wataalam wa IT wa NBC ndio hawa wame-install kwenye Servers zao zote Countrywide Windows Server 2000 kwakuwa kwao hiyo ndiyo latest release. Wataalam hawahawa kwa hasira baada ya kuona topic hii:

  https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/30219-atm-za-nbc-ni-kero-kwa-wateja.html
  na hii https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/32571-nbc-bank-ni-kero-hivi-wenzangu-mnawaelewa-elewa.html

  Wakaamua kuwazuia wafanyakazi wao wasione nini kinaongeleka, badala ya kuchukua hatua za kuzuia tatizo wakachukua hatua za kutoona kabisa kinachoongeleka!

  Hawajui kuwa tuko well informed juu ya wizi wa zaidi ya Bil 15 uliofanyika ndani ya bank hii na hawajui role ya JF mpaka wizi huu kuweza kushtukiwa!

  We're 1 step ahead!
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  -bwa ha ha ha ha kazi ipo kama benki kubwa kama NBC bado wanatumia O/S zilizopitwa na wakati sishangai kwanini mitanzania kwanini haina akili.....nyie ma IT gurus wa NBC hilo mna habari hizi from MS

  ilishapigwa chini siku nyingi ila imepewa ka muda mpaka july 2010.....nyie ndio mnaona latest.....si ajabu mkawafungia wafanyakazi wenu wasione JF....

  Nyie NBC mnatumia system gani kwenye database zenu kama hata server tu bado mko 2000 kweusi.......
   
 16. g

  gnasha Member

  #16
  Jul 24, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ukitaka kuweka pesa foleni zake huwa ni ndefu sana. Sasa mtu anawaza kuweka ni foleni namna hii, nikitaka kuchukua mashine haziaminiki unaweza ukakuta hela imekwisha au haifanyi kazi. kweli kwa mwendo huu wateja wakiwakimbia mtawalaumu?

  NBC badilikeni. Na muache hii tabia ya kusema system haijaamka ni tatizo linalojirudia kila mara. Tafutieni ufumbuzi.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh itabidi nihamishe masurufu yangu yote NBC niache kiasi cha mboga tu maana hii bank inako elekea si kwenyewe si wawaache hao wafanyakazi wapate data kutoka JF duhh hii kazi kweli kweli. Naogopa isije ikawa kama DECI.
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Yo Yo, hiyo signature inatudhalilisha watanzania ukiwa mmojawapo. Au ushaukana uraia mkuu? Au huna akili kweli mpwa? Wenye akili wakenya?

  Hizi institutions kubwa zina 'wataalam' wa IT wenye Masters degree na hawa ndo huwashauri staff maofisini kuondoa Windows Vista Ultimate kwenye laptop zao na kuweka Win XP ili laptop zao ziwe compatible na programs hizo za miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000.

  Antivirus wanazotumia kwenye servers hata kueleza hapa aibu
   
 19. D

  Dandaj Member

  #19
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna benki nyingine zipo zinakua kwa kasi nzuri, Mfano DCB na inatoa huduma nzuri kwa wateja wake kwa kupitia mtandao wa Umoja swich. watu wasifanye Transactions na benki fulani kwa sababu ya jina na umaarufu wake bila kujali shortcomings.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamani vp hawa Exim bank huduma zao zikoje?
   
Loading...