tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 83
Bank teller dirisha la check NMB - Manonga mkoani Shinyanga anapaswa ajirekebishe kutokana na utendaji wake kazi usioridhieha kwani muda mwingi ofisi yake inabaki ikiwa hakuna mtu na hii inapelekea check zinakaa hadi siku nne bila kupata huduma.
Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.
Wekeni mtu mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.
Aidha, Meneja chukua hatua haraka kutokana na usumbufu huo, kwani tatizo hilo lipo chini yako, ni aibu kubwa.
Wekeni mtu mtu makini anayejali kuwahudumia watu na siyo kujali shughuli binafsi.