Shinyanga: NMB Manonga, telller anayeshughulikia check ni tatizo

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Banktelller ambaye ni dada anayeshughulikia check katika bank hii ni tatizo kubwa kwani yupo taratibu Sana kutekeleza majukumu yake.

Mteja anaweza peleka check akakaa hata siku nzima bila kuona muamala umeingia.

Nmb kumbukeni kwamba watu wana shughuli mbalimbali za kuinua kipata chao. Muda ni Mali, labda mteja anaweka hela ili atumiwe mzigo kwa siku hiyo na muda huo na inafanya shughuli kukwama.

Nbm manonga jirekebisheni huduma mnazotoa ni tofauti na matawi mengine.
 
Manonga Choma cha Nkola vipi Jineri bado ipo huko kilikuwa na waarabu wengi sana.
 
Huyu Dada anaweza asishughulikie check hata kwa siku 2 anaziweka pembeni ili ashughulikie kwa muda wake anaotaka.
Uwajibikaji ni kuwafanya wateja wako wanapata huduma kwa muda sahihi ili wafanye shughuli zao za kiuchumi .
 
Mkuu ujumbe wako ni makini sana,,lakini kama utakuwa sehemu ambayo sio sahihi ni sawa na Kelele tu..

Nenda kwenye tawi,, ulizia meneja,, mweleze hio challenge,, utakuwa umewasaidia na wateja wengine..
 
Banktelller ambaye ni dada anayeshughulikia check katika bank hii ni tatizo kubwa kwani yupo taratibu Sana kutekeleza majukumu yake.

Mteja anaweza peleka check akakaa hata siku nzima bila kuona muamala umeingia.

Nmb kumbukeni kwamba watu wana shughuli mbalimbali za kuinua kipata chao. Muda ni Mali, labda mteja anaweka hela ili atumiwe mzigo kwa siku hiyo na muda huo na inafanya shughuli kukwama.

Nbm manonga jirekebisheni huduma mnazotoa ni tofauti na matawi mengine.
Mvumilivu hula mbivu
 
Acha nongwa kwa mfanyakazi mwenzako...wewe unajua teller kazi yake nini na cheque inapitia mifumo gani kupita..
 
Pia ana majibu mabovu mno! Unaweza peleka cheque za malipo ya seeikali akakwambia nenda dirisha lingine malipo ya serikali sihusiki nayo! Sa nyingine ana maswali yasiyomhusu anaweza akakataa cheque eti kisa tarehe ya cheque imetofautiana na payment voucher!
 
Mtongozeni tu

Vp ana chura?kama ana chura lazima awe kiburi

Ova
 
Back
Top Bottom