Bank M, full Massonry

It is just like the fact that molecules are moving too and flor in a stone. To a common man that is a nonesense and "ushamba". You neither read nor listern and now you speak from your feelings, that's unfair to Thinkers

Ukitumia kiswahili itakuwa vizuri zaidi... Hii lugha muwe mnaomba tuwasaidie si mbaya ukaandika halafu ukaomba mtu a edit kabla hujapost. But ikiwa hilo haliwezekani nashauri mtumie kiswahili.
 
Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.

Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
Vipi umeshajiunga mkuu.???
 
Last edited:
Wewe hauko ktk Market Segment yao. Wao wame specialise kwa Corporate Customers
Kuna wakati kabla Citibank haijaja Tz. Kuna mtu mmoja alikuja toka US akaongea na wafanyabiashara hawazidi 10 huyooo akakwea pipa akasepa
 
Tanzania wasipokujua mambo yako na wakashuhudia mafanikio basi watasema ama ni freemason ama ni usalama wa taifa, hiyo bank ilikuwa inadili na watu wakubwa na ilikuwa inatakatisha fedha haswaa..na nafikiri wahusika waliisajili kwa lengo mahususi ndo maana hawakuwa na haja ya kujitangaza
 
imebidi nicheke tu kwaiyo wamekosa damu au damu imetisha?
 
Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.

Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
mkuu ulifanikiwa kujiunga niingie huko ili niendane na hii kasi ya sasa ya kukua kwa uchumi wa viwonder
 
Msitutoe nje ya mada. Uchumi wa Bank M umedorora kiasi gani mpaka BOT waka take charge? Jee fedha za wateja zipo salama? ni hivi karibuni tu mkulu alisema sekta ya mabenki ipo salama sasa leo vipi tena na Bank M?
 
Nipe namba za freemasons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…