Bank M-Connecting the dots...


Heshima nyingi kwako mkuu!

Ukilielewa jambo vizuri na kulizungumzia, watu watakuelewa tu hata kama litakuwa ni jambo lisiloeleweka kirahisi.
 
I think some of these things surface in a good faith. For people to know. For people to think. And come up with solutions that same things will never happen again.
As a nation, if we stay put or stagnant, we could close in our world and forget about it. Life is short and our time is limited.
Our leaders should clean up the mess some few people, for so long have created. We can't attain our proper poaition in the world if the same people who still and work on annihilating the nation still enjoy the status of VIP.
There is a spanish say....al maestro cuchillada...To the master goes the knife....We have the master and he has the knife... lets wait and see how the knife is going to be put on use this time!
 
Sasa nimegunduwa kwanini mwalimu alikubali vyama vingi. Huu uozo ulianzia wakati mwalimu Nyerere akiwa hai, na ni kuanzia miaka ya mwanzo ya tisini ambapo aliwalazimisha ccm. Kiaina aligunduwa ccm wamegeuka mafisi.
 
hahahahaaaaa hapa ndio utajua kwamba tanzania haina idara ya kitengo...........!


lakn pia tujue kwamba hata nyerere alikua na shida nyingi, mojawapo ni kukumbatia wahindi na kuwafukuza wazungu(europeans)!!!


nchi hii ufisadi unaongozwa na hawa tuliotegemea watulindie mali za taifa...... hawa wanaojiita kitengo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wakihojiwa wanasema siri ya mafanikio kufanya kazi kwa bidii kumbe wezi.

Matajiri wengi pesa zao wamezipata kwa njia za ki mafianso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPO ila hawawezi kufanya lolote mpaka wampe taarifa SPONSOR (Rais) ndiye aamue nini kifanyike. Katiba ndivyo inavyoelekeza hata ile sheria iliyounda TISS ya mwaka 1996 kipindi cha Mkapa. Marais wenyewe sasa!!!
 
kwamba hata thread za hapa JF wamefuta???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui wangapi wanakumbuka wakati Ikulu yetu ilipogeuka na kuwa kama pango la walanguzi, naam waliokuwa wanunuzi wa madeni walikuwa kama walanguzi wengine tu.

Ahsante Mag3, kwa video hiyo.

Mjadala huu umetoa fursa kama mfano mzuri kwa yeyote anayetaka kujua hali halisi tuliyoifikia kama taifa.
Ni kiasi cha kusoma tu kwa utulivu na kuelewa yaliyosemwa humu.

Sijaona sehemu yoyote ndani ya mjadala huu hoja yenye utetezi juu ya yaliyofanyika, kwamba yalifanywa kwa manufaa ya taifa.
 
umeongea kwa uchungu sana mkuu Mag3...........


mimi siachi kumlaumu mzee nyerere kwa haya, alikua na uwezo kabisa wa kuua ccm lkn kwann alishindwa??


kwann aliacha katiba ya chama ndio iongoze nchi? maana katiba yetu ni katiba ya ccm ile wala sio ya taifa.........


yule mzee sitaki hata kumkumbuka kwa mazuri yake,,,,, na hii ccm tutakufa tutaiacha!..... nchi haina usalama kabisa kisa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amepewa tenda na serikali hii ya jiwe?
Ukishangaa ya Musa, je ya Farao? Juzi tumemuona RA kwenye sherehe ya kumpokea Lowassa siyo? KAGODA, iliyochotewa mabilioni kwenye EPA mwezi Octoba mwaka 2005, iliasisiwa na RA/Manji lakini wanufaika walikuwa ni pamoja na CCM. KAGODA na CCM walikuwa ni kama pete na kidole.

CCM haijawahi kuadhibiwa pamoja na baraka na ushiriki wake katika ufisadi. Ufisadi mkubwa wa CCM kama chama ni ule wa kuwadhulumu Watanzania mali zao kama majengo, makampuni, shule, viwanja vya michezo na mengine mengi tu. Amini usiamini adui nambari wani wa taifa hili ni CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…