Bank M-Connecting the dots...


Duuh....kwa maneno mengine wengi wetu tunahangaika na petty issues tunaacha mambo ya msingi.
 
Anataka kuvuruga Mada

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh? Watu wake wameguswa! Hawa ni watu waliotubakisha watumwa kwenye nchi yetu wenyewe! Wanajidai ni wenzetu kisa wanaongea kiswahili! Wengine wakijadai ndiyo waliotuletea huo “ustaaraab wa kiswahili” nk.

Akae mbali kama hana hoja. Yeye ana wish discussion hapa ingekuwa ni Mtei! What a bitch?!😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endelea kushusha nondo wengine tunafatilia kwa ukaribu hku nikiwa na nyagi pembeni

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo DCP Ilianza miaka ya mwanzoni mwa tisini! Kuhusu miaka ya 70, ndiyo kipindi Chavda anahamia Tanzania.
 
Mkono yuko wapi siku hizi?
Mkono ndiye alikuwa mwenyekiti wa wa Bank M wakati inaanzishwa, nadhani body of directors! Kuna mwana mama ambaye anaitwa Jacquelin Owise, yeye ndo alikuwa CEO!

Kuna namna wamejaribu kufuta alama zao lakini kumbukumbu bado ziko.
 
Wahindi wa Tanzania wametuangusha. Katika kashfa karibu zote kubwa wanahusika.
Ndio mambo ya kukutana kwa vikao vyao vya siri na kugawana hizo fursa? Maana walatini wanasema Quid Pro Quo....
Hii historia ibadilike sasa. Enough. Criminals wawajibishwe
 
Hawa jamaa wamegeuza Tanzania shamba la bibi. Kinachoshangaza bado wanapewa platforms za kuonyesha uwekezaji wao na jinsi walivyokuwa smart business people. Tanzania haiwezi kujengwa na uchumi wa kuiba au kudhulumiana, kama ule Sicily au Palermo Italy, ambako bila approval ya mafia bosses hakuna kinachiwezekana.
Na ukiangalia sana, chain waliyotengeneza pia, imejaa watu wanaofanana nao. Baadhi yao ndio hawa wazungu wababaishaji lakini tunawaita wawekezaji
 

Hayo makampuni hewa yalikuwa yanafanya kazi ya utapeli at the next level.
Kina Msofe wanadhulumu wajane viwanja, wengine wanapiga kimya kimya bado wanavaa suti na tai, na kusifiwa ni wawekezaji
Waache sasa utapeli maana nao wanatapeliwa
 
Hii mada imekuwa ngumu sana kwangu sijui kwa sababu ni Weekend na akili inalala au uelewa finyu wa eneo mada ilipojikita

Anyway nitarudi wakati mwingine panapo majaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh nakumbuka Chavda alitimuliwa 1990s,kumbe alirudi nchini kinyemela jmushi1

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaaaa {Wahindi} hawawezi kuondoka apa nchini kwa sababu wanapata utajiri kwa urahisi sana, kuliko mataifa mengine wanayokaaa. Uwezi kwenda sehemu Kama Somalia. Kule ukileta ujanja unavamiwa na wahuni wanakuua. Lakini kwa Tanzania si rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkono ndiye alikuwa mwenyekiti wa wa Bank M wakati inaanzishwa, nadhani body of directors! Kuna mwana mama ambaye anaitwa Jacquelin Owise, yeye ndo alikuwa CEO!

Kuna namna wamejaribu kufuta alama zao lakini kumbukumbu bado ziko.
Jacqueline was just an employee. You can rarely find a Tanzanian team formed by indians and us of this colour, working.
Wahindi kwao sisi ni watwana..watu wa kufulia na kuwapikia tu. Sad reality!
 

Hivi watendaji wa serikali lazima wawe ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…