hassan amir msuya
Member
- Nov 20, 2016
- 39
- 4
kwenye money paper ya Tz huwa naona saini ya waziri wa fedha pamoja na ya governer. Hivi huyo governer ndo nani na ana mchango gani katika pesa yetu. pia unasomea nini ili uje kuwa governer?
ahsante sana bro mungu akubarikiNaomba u google neno BOT (Bank of Tanzania) unapaswa uwe mchumi wa kiwango cha juu na uwe umebobea masuala ya Finace (fedha) na economic planning lakini kubwa zaidi ya yote unatakiwa ujipendekeze kwa wakubwa wakuone so taaluma yako sometimes unatakiwa uibane mkiane kukubaliana na matakwa yao