mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
Ni kweli kabisa. Tatizo kubwa Tanzania tunafanya maamuzi bila kufanya scientific investigation nadhani muda umefika sasa serikali kufanya maamuzi ya kitafiti zaidi.
Mkuu naona kama umevaa gunia. Ni hivi, kwa utaratibu wa bunge, hoja huamriwa kwa kura, kwa bahati mbaya sana wapinzani ni wachache. Technically hata kama wangebaki bungeni, kura ingepigwa na CCM ingepitisha hivyo hivyo.Hili jambo limefanywa kwa makusudi tu na sidhani kama kweli walikuwa hawajui nini kingefuata baadae na kutokuwepo wapinzani Bungeni ndio kulitoa mwanya wa kupitisha hii kodi na huenda ndio sababu ya kina Zitto kuzuiliwa kujadili hii bajeti pale Millenium Towers.