Bank charges ndio mapato ya Bank ambayo mwishowe hutozwa kodi. Unatozaje VAT!?

Ni kweli kabisa. Tatizo kubwa Tanzania tunafanya maamuzi bila kufanya scientific investigation nadhani muda umefika sasa serikali kufanya maamuzi ya kitafiti zaidi.
 
Hili jambo limefanywa kwa makusudi tu na sidhani kama kweli walikuwa hawajui nini kingefuata baadae na kutokuwepo wapinzani Bungeni ndio kulitoa mwanya wa kupitisha hii kodi na huenda ndio sababu ya kina Zitto kuzuiliwa kujadili hii bajeti pale Millenium Towers.
Mkuu naona kama umevaa gunia. Ni hivi, kwa utaratibu wa bunge, hoja huamriwa kwa kura, kwa bahati mbaya sana wapinzani ni wachache. Technically hata kama wangebaki bungeni, kura ingepigwa na CCM ingepitisha hivyo hivyo.

Kumbuka: Tatizo kubwa la CCM wamekaa kishabiki kwa hiyo hata kama mtu hajaelewa anasena ndiyoooo.

Ki ukweli huwa naumia sana watu kama akina Msukuma na Ngonyani wanapochangia kwenye mijadala kama hii ambayo kimsingi huwa hawajui wanasema nini.

Mungu ibariki Tanzania
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom