Bango la JF..... Umewahi kupitia haya?

Bango la JF..... Umewahi kupitia haya?

1.Niliibiwa nauli nikiwa kwenye basi iendayo mikoni
2.G/f wangu alinikaribisha kwake akapika msosi wa ukweli na maandalizi ya kutosha....bahati mbaya nikashindwa kwenda.....nikamwomba msamaha.............siku lingine nikamwomba aje kwangu...nilimwandalia zawadi,ua,na vikorombwezo kibao halafu nikamsubiri...mara akanitumia sms kwamba hawezi kuja ameamua kulipiza.........dah namkubuka kwa hilo.
 
Back
Top Bottom