Bango la JF..... Umewahi kupitia haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bango la JF..... Umewahi kupitia haya?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gambachovu, Mar 13, 2012.

 1. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Binadamu tunapitia mambo mengi katika maisha yetu.

  Nimeamua kuanzisha uzi huu ili tupeane uzoefu wa mambo yaliyotukuta,na kujipa matumaini mapya ya kusonga mbele,na kuwapa pole wenzetu,kwa yaliyowakuta.

  Hapa chini ni baadhi ya masahibu yanayowakuta watu katika nyakati tofauti.

  1.Kusingiziwa kosa lisolokuwa lako,
  -iwe upotevu
  -forgery na mengine kama hayo...

  2.Kuibiwa mali
  -samani(furniture)
  -Computer/Laptop
  -Gari na vingine kama hivyo

  3.Kupita maeneo yenye vibaka na kuporwa

  4.Kutapeliwa
  -simu za mkononi,hela,n.k
  -kiwanja,nyumba,gari,n.k.

  5.Kufiwa na boyfriend,au girlfriend,na husband,wife.

  6.Kutishiwa maisha kwa njia ya simu,barua,na au message ya simu.

  7.Kufanyiwa upasuaji wa aina yoyote katika mwili wako,iwe jicho,goti,uvimbe,ya uzazi,na nyinginezo..

  8.Kupanda gari binafsi,basi la abiria,treni,meli,boti,au ndege na ikatokea
  -Puncture,ama ajali kabisa
  -Kutekwa,na au ujambazi,na misukosuko mingine kama hiyo..

  9.Kufiwa na mtoto,au watoto

  10.Kupigana na,ama kupigwa na mwenza

  11.Kupewa miadi hewa(haijalishi ni mpenzi ama siyo),kuwa mkutane mahali,nawe ukaenda na ukaganda hadi likakuchwea...

  12.Kudondoka ghafla kwa mshtuko,hofu au kwa lolote lile lingine..

  Karibuni..
   
 2. Kibua

  Kibua Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  13. Kuachwa na mpenzi uliempenda sana..
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,114
  Likes Received: 6,594
  Trophy Points: 280
  rudia moja na kumi na moja.
   
 4. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  sitaa sahau siku nilipo singiziwaaa nimemtoroshaa mkee wa m2..ambaye hata sinaa mazoea nae na walaa sijawai hata kumsalimiaaa,nashangaa 2 story mtaani....flani ka mtoroshaa mkee wa flanii,huku jamaa akizidi kupakazaa kwambaa atanitumia watu waniuweeeeeeeeee.masikini weeeeeeeeeeeee
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  iliwahi kunitokea hii...posta mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee.....enzi hizo nilitapeliwa siemens 32(sijui jina nalikumbuka sawa sawa) na sh 5000...... baada ya zoezi la kutapeliwa ndo nikagundua kuwa nishaibiwa hivyooooo...........

  hii iliwahi kunitokea....nilimpoteza kwenye ajali ya gari....ilinichukua muda kurecover....nashukuru kwa sala na maombi nilifanikiwa......sasa nimemove on nikapata mwenza mpya, ananipenda kwa dhati na tuna watoto kadhaa sasa....


  pancha yess... hayo mengine noooo mbadoooo yanipite mbali.....


  hahahahaha hii ilishatokeaga mkuu. sidhani kama kuna ambaye haikumtokea hii mmmmh!!!!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  i see....
  pole sana...unaweza hama mtaa hivi hivi...
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  namba 11....tena wa hapa hapa Jeiefu....siku ya Valentina....
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahaha! Sio PJ kweli?
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yeye ndie aliyeniingiza kwenye huo mkenge...PJ sio kabisa....
   
 10. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mtoa thread hii amenifanya nitokwe na machozi kwani amenikumbusha matukio mengi ya kusikitisha.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nishawahi kutapeliwa simu.
   
 12. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kukimbiwa na mke wa ndoa we acha tuu
   
 13. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  ha kwa hiyo bado unampigia simu mpaka leo naona umeshika kichwa kwa majonzi makubwa
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dah, hizi experience zinakufanya unakua kabla ya wakati.

  Ukimuona yatima ana ndevu, jua moyo una mvi.
   
 15. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,264
  Trophy Points: 280
  nani huyoo...tena mate tumchape

  mh...pole sana...ila hata mimi nishawahi kufanywa kama hivyo
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Pole sana kalukamise..
   
 17. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Namba 2.. Na
  Pancha ya gari pia..
   
 18. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tafadhali tupe basi uzoefu wako...
   
 19. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hayo yamekutokea?
  Pole lakini Mamndenyi,ila ungetumegea kidogo ilikuwaje,hata kama ilikuwa rafiki yako,au habari kama uliisikia kwa kusimuliwa mahali...
   
 20. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole sana B'REAL.... Na ndiyo kusudio la hii thread,kukumbuka mabaya tuliyoyapata,tunashirikishana na kupeana pole. Wengine yamewakuta mengine,na wengine yamewakuta mengine...
   
Loading...