Bango la JF..... Umewahi kupitia haya?

iliwahi kunitokea hii...posta mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee.....enzi hizo nilitapeliwa siemens 32(sijui jina nalikumbuka sawa sawa) na sh 5000...... baada ya zoezi la kutapeliwa ndo nikagundua kuwa nishaibiwa hivyooooo...........

hii iliwahi kunitokea....nilimpoteza kwenye ajali ya gari....ilinichukua muda kurecover....nashukuru kwa sala na maombi nilifanikiwa......sasa nimemove on nikapata mwenza mpya, ananipenda kwa dhati na tuna watoto kadhaa sasa....

pancha yess... hayo mengine noooo mbadoooo yanipite mbali.....

hahahahaha hii ilishatokeaga mkuu. sidhani kama kuna ambaye haikumtokea hii mmmmh!!!!

Badili Tabia,asante kwa ushirikiano wako.... Pole kwa yaliyokukuta... Na Mungu apishie mbali yasikutokee tena..
 
sitaa sahau siku nilipo singiziwaaa nimemtoroshaa mkee wa m2..ambaye hata sinaa mazoea nae na walaa sijawai hata kumsalimiaaa,nashangaa 2 story mtaani....flani ka mtoroshaa mkee wa flanii,huku jamaa akizidi kupakazaa kwambaa atanitumia watu waniuweeeeeeeeee.masikini weeeeeeeeeeeee

sema tu ukweli mkuu hao watu waliambiwa wakudaudi kameruni sio kukuua babu..
 
WaliNazi hilo sidhani kama ni tukio la kulifananisha na zahama nyingine kama hizo... Anyway,wadau wapo..
 
>Kukimbizwa na kichaa adi kupoteza kiatu na cmu!
>Kupatwa tumbo la kuhara safarini,had ugenini! Lol
>Kuanguka kwenye bembea na kuvunjika mkono
>Kulambwa vibao hadharani,after kukutwa unaongea na mkaka umecmama mnaongea! Lol
>kubwia kilevi ad kutapika ku-hug hug watu ovyo kwenye tena party ya heshima,mbele ya watu highly respectable ktk jamii Lol..aisee wont 4get tha'dei!bt t wont happen again kwan nmeacha kbsaaaa!
 
Loh... Pole sana Swts...
 
Back
Top Bottom