666
Member
- Mar 28, 2012
- 10
- 3
Jamaa mmoja anaishi na demu wake sa mara nyingi huwa akitoka analudi usiku,
siku inayofuata jamaa katoka kama kawaida akapitia maskani kwao,Bas yule demu wake akaingiza mwanaume ndani,
Imefika jioni yule mwanaume akataka kuondoka, yule demu akamzuia na kumwambia leo anataka alale palepale
Jamaa akauliza na mmeo akiludi itakuaje? Demu akajibu kwanza mme mwenyewe mvuta bangi tu wala ucogope.
basi si wakalala..usiku yule jamaa kaludi moja kwa moja kitandani akaingia kwenye shuka, ghafla usiku jamaa
akashtuka akamuamsha,mke wake na kuanza kumuuliza, maongez yalikua hivii.......
Jamaa:mke wangu mbona leo miguu imeongezeka??
demu: kwan inakuaga mingapi?
Jamaa: minne
demu : kwani leo ipo mingapi??
Jamaa: Sita
demu: kweliii!!! embu shuka kitandani alafu uihesabu tuone kama kweli
Basi jamaa kashuka ile kuesabu kakuta kweli minne akaanza kumuomba mke wake msamaha,
Alafu akalud kulala akasahau kwamba miguu ya kwake aliitoa duu kwel bhangi noma???