Bangi mbaya aisee!

Bangi mbaya aisee!

Kama hicho kiwango cha ubunifu ni bangi basi naunga hoja ivutwe tu! Mvuta bangi hawezi kua na aidia kali kama hiyo ila shida ndio inaleta ubunifu na ufundi wote tunaouona.
 
Na hii nayo ni nini, Ubunifu??
 

Attachments

  • 1454959994968.jpg
    1454959994968.jpg
    27.6 KB · Views: 296
hatari sana ukigusa hayo maji nasikia huwa na shot. pia pasi inaweza kulipuka na kupasuka.
 
Wavuta bangi wote wapo makini huwezi kukuta mvuta bangi anafanya mambo ya kijinga kama hayo
 
Kama ni bangi ndio imesababisha ubunifu wa huyo jamaa basi ihalalishwe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom