DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
kumbe tumeacha kujadili bangi tunajadili unga? kama haujui tofauti ya bangi na unga basi tuishie hapa mpaka utapojifunza!
hahahahaha...!tatizo lako hujui maana ya "TEJA"
Teja sio lazma awe wa unga, uteja ni ile hali ya kuwa mtumiaji/mfuasi wa kitu flani kiasi kwamba umeshindwa/unashindwa kuacha,
ndio maana kuna mateja tofauti, kuna teja wa mapenzi(hata JD aliimba)
teja wa bangi, unga, pombe, sigara n.k
kiswahili kipana sana!