Bangi ihalalishwe

Bangi ihalalishwe

Hivi bange ni lazima ivutwe tu ama yaweza kuliwa kama mboga? Nauliza tu maana nimeanza kushawishika ila kuvuta kunaweza kuwa kikwazo

Kuna weedcakes zinauzwa sh.buku kwa moja, nitamu kama keki zingine.
 
Kwanza nashukuru naikuta hii thread hapa tayari nimetoka kupata kaya zangu pale kwa NBC Club summit-posta, sasa we can discuss. Jamani, bhangi kiukweli inavyoongelewa sivyo ilivyo kabisa. Bhangi haina hangover, bhangi inakupa hamu ya kula, bhangi inakufanya uwe na amani na kutotaka ugomvi, bhangi inakufanya utabasamu kila ukikumbuka mwenye kituko ulichofanya. Bhangi bwana ihalalishwe tu, mbona hata hao viongozi wengi wao wanavuta? Mfano Mh.Sugu.

Angalizo: Ukiwa umevuta bhangi na mkawa mnapiga story na washkaji, then ikaja fasta story unataka uwape washkaji, bora uwaambie mapema maana dk.2 tu utakua umeshasahau ulitaka kuongea nin (temporary memory loss). Nawasilisha kutoka Goba surbubs!
 
I agree 101%, bangi sio mbaya kama jamii inavyoambiwa na babylon, it enhances everything, people shud learn be curious sio kila unaloambiwa unakubaliana nalo without kuchunguza, i know a lot abt this plant now, and i feel proud smoking pot, pombe spirits tumbaku zilohalalishwa na babylon ndizo zinaua walimwengu mujiepushe nazo ohoo,
#legalize herb
 
I do not suggest a thing on weed... I did it sometimes before, back in the days and until now I still cherish it coz I find it 2 be just cool though there some people huwa wanna go kinda crazy but 2 me its all because they didn't know how to use it and keep up with it.

Bangi inazeesha though its cool.. and kwa ambao bado mpo kwenye dope shit, jus maintain the laws coz bangi is not for someone to break laws
 
Hata hivi ulivyoandika ni sababu ya bange!
Loh!taifa linaangamia bangi mbaya sana acha kijana

Fuatilia makala ya DR Sanjay Gupta, ON WEED. Aliendesha TV show kali ajabu. Imerushwa sana na CNN wiki hizi mbili.Sanjay Gupta is an American neurosurgeon and an assistant professor of neurosurgery at Emory University School of Medicine and associate chief of the neurosurgery service at Grady Memorial Hospital in Atlanta, Georgia.

Jimbo la Corolado imeruhusiwa ni kujichana tu!
 
I do not suggest a thing on weed... I did it sometimes before, back in the days and until now I still cherish it coz I find it 2 be just cool though there some people huwa wanna go kinda crazy but 2 me its all because they didn't know how to use it and keep up with it.

Bangi inazeesha though its cool.. and kwa ambao bado mpo kwenye dope shit, jus maintain the laws coz bangi is not for someone to break laws

I dont understand why, why, why dis people who, want to do good for every one, dem say government and dis and dat. Say you must not use herb not use herb, cause it makes you rebel, AGAINST WHAT? Bob Marley 1979, New Zealand.
Herb is a plaaaaaaant! Seen!
 
ni mtazamo

uvutaji wa bangi si jambo geni
vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta

ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli)
kma ulishawah kuvuta utakubaliana na mimi

bangi haina addiction wala haijengi dependency

ukiikosa hupati alosto
bangi ina leta mood au inaongeza mood
huku kijijini kwetu wakulima wanapuliza bangi then wanaingia mzigoni
same way tulivokuwa tunatumia high school tunapata mood ya kupiga misuli

haya madhara kma kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?

Kwanza bangi inaongeza appetite mim ningekuwa docta watu wanaosuffer na anorexia ninge kuwa na prescribe bangi

afu bangi navoelewa risk ya kupata sijui cancer yakoo au mapafu ni ndogo kuliko hizo tumbaku ambazo ni legal kabisa

bangi ina fanya muscles zina relax
hakuna sijui ku athiri nguvu za kiume kama tumbaku

kwahyo basi sioni sabab ya bangi kuwa illegal cha msingi serikali izuie madawa ya kulevya na bangi watu wavute hadharani kma sigara ili kutoweza kuwapa mwanya wale wanao changanya na heroin huko vichochoroni

Lema hajambo,mkumbushe lile dili.
 
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilivuta Bangi Mjusi nilimuona Mamba lakini baada ya kuizoea ikawa ni kawaida na faida zilikuwa nyingi kuliko hasara nimevuta bangi miaka 13 na nimeacha sasa hivi. Sababu ya kuacha nimeona umri umesonga na jingine kupuuzia kila kitu yaani unaTake easy.
 
Sijui niseme nini juu ya huu uzi ila ki ukweli katika watumiaji wa vilevi au mihadarati, nimegundua bangi inatumiwa na watu weengi sana wanaojiheshimu, na pia kati ya hao sijawahi kwa kweli kuona wamepata matatizo ajili ya bange.

Mimi situmii ila siipingi kwa kweli!
 
I agree 101%, bangi sio mbaya kama jamii inavyoambiwa na babylon, it enhances everything, people shud learn be curious sio kila unaloambiwa unakubaliana nalo without kuchunguza, i know a lot abt this plant now, and i feel proud smoking pot, pombe spirits tumbaku zilohalalishwa na babylon ndizo zinaua walimwengu mujiepushe nazo ohoo,
#legalize herb

babylon ni nini?
 
unaweza kuweka kwenye chakula chochote cake au vingine vyenye sukari kuongeza flavour but utachelewa kuwa high kma anae vuta coz anaevuta inaingia kwnye mapafu dirictely na ina kuwa absorbed na mishipa ya damu fast

Unatumia nguvu nyingi kuitafutia uhalali!
Au una shamba umeilima sasa unatafuta soko?
 
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilivuta Bangi Mjusi nilimuona Mamba lakini baada ya kuizoea ikawa ni kawaida na faida zilikuwa nyingi kuliko hasara nimevuta bangi miaka 13 na nimeacha sasa hivi. Sababu ya kuacha nimeona umri umesonga na jingine kupuuzia kila kitu yaani unaTake easy.

Mkuu hukukimbia ulivyomwona huyo mamba?
Vipi kijiko si uliona jembe!
Watu ulikuwa unawaonaje?
Duh! bange mbaya
 
Anko wa rafiki yangu alipata kansa ya koo... sababu ni bangi yeye alikua ni mvutaji bangi tu sio sigara wala hanywi pombe. Nimesoma na wavuta bangi kipind niko O-level, mmoja wao ni chizi kabisa, wengine ni vibaka wako mtaani,... bangi ni mbaya kama unaona wewe ni nzuri kwako basi endelea kuivuta ila iko siku utajua kweli bangi sio nzuri kwa afya
 
Its one of cash crops which brings the highest returns in market..
 
Hivi yakitokea mashindano ya mbio kati ya mlevi na mvuta bangi nani atawahi kufika. Ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom