ni mtazamo
uvutaji wa bangi si jambo geni
vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta
ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli)
kma ulishawah kuvuta utakubaliana na mimi
bangi haina addiction wala haijengi dependency
ukiikosa hupati alosto
bangi ina leta mood au inaongeza mood
huku kijijini kwetu wakulima wanapuliza bangi then wanaingia mzigoni
same way tulivokuwa tunatumia high school tunapata mood ya kupiga misuli
haya madhara kma kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?
Kwanza bangi inaongeza appetite mim ningekuwa docta watu wanaosuffer na anorexia ninge kuwa na prescribe bangi
afu bangi navoelewa risk ya kupata sijui cancer yakoo au mapafu ni ndogo kuliko hizo tumbaku ambazo ni legal kabisa
bangi ina fanya muscles zina relax
hakuna sijui ku athiri nguvu za kiume kama tumbaku
kwahyo basi sioni sabab ya bangi kuwa illegal cha msingi serikali izuie madawa ya kulevya na bangi watu wavute hadharani kma sigara ili kutoweza kuwapa mwanya wale wanao changanya na heroin huko vichochoroni