CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
hiii kitu mm sizani kama inakatazwa kivile coz kuanzia viongozi wooote kalibia washawahi piga hii kitu asilimia 90 ya wabunge bungeni washapuliza hii kitu huko kwa hawa watu wa usalama ndio usisema nia aibu tupu vyombo vyetu vyooote vya usalama vinapuliza hii kitu iwe ni jeshi,jkt au jwtz ,magereza ,polisi sijui usalama wa taifa ni bange kwa kwenda mbele.
mpaka baadhi ya viongozi wa dini wanapiga hii kitu bana sasa sijui inakuwaje hapa.
mm hii kitu huwaga naipenda sana coz nilishawahi vuta wakati nasoma shule ila mzee wangu alikuwa ni hakim lakini home tulipanda na hata mashambani kwetu tulipanda nakumbuka wakati mama yangu anajifungua mdogo wangu kiungo kikubwa cha mboga ya majani ilikuwa ni mbegu za bangi ni noma sana wakuu zinaongeza sana maziwa kwa wanawake wanao nyonyesha mboga ikiungwa mbegu za bange hata sijui nazi na karanga hazifui dafu.
hiii kitu inabidi serikali itazame vizuri hata mm naunga mkono hoja ni bora vijana wavute bangi na sio kuvuta unga.hata hao wataalam kama watatuwekea madhara ya bangi sijui kama yatafikia yale ya sembe na sigara.
bila kusahau bangi ni dawa nzuri sana ya sikio
Ilishawahi kuokoa mtu wangu wa karibu kabisa!