kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,877
- Thread starter
- #121
1. Ulichoandika namba moja ni uongo mkubwa - bangi is very addictive (hebu acha kuvuta siku moja utajua)
2. Hizo moods hata zikiwa evil ones - bangi inaziongeza na hivyo huongeza uhalifu katika jamii
3. hii ya kumbukumbu umetunga wewe - madhara ya bangi ni zaidi ya kumbukumbu
mwisho, nakushauri uende kwa daktari, kama una sababu ya muhimu kutumia bangi atakuandikia na utavuta ukiwa sehemu maalum sio katika public
me naongea kutokana na uzoefu na vuta at will na weza postpone ntakavyo hyo addiction umesema wew na mambo ya vitabuni hayo
mood zikiwa evil umeshasema mtu ni evil leave our gomba alone huyo alikuwa evil b4 na ataendelea kuwa evil after
madhara ya bangi ni zaid ya kumbukumbuku yataje hayo madhara?
Note: umepewa akili tumia sio kukubali kila unachosikia na kuambiwa fanya utafiti kwanza