Bangi ihalalishwe

Bangi ihalalishwe

JF watu wanakula "vyombo" nimeamini baada ya kusoma thread hii. Nimemsikiliza Dr Gupta kutoka kwenye link iliyotolewa hapo juu, kutokana na aliyoyazungumza nimeona kwamba madhara ni machache kuliko sigara na pombe.Atokee mtu mwingine anayeweza kuja na vielelezo vya kutuonesha madhara
 
CYBERTEQ kuhusu weed cakes, kuna jamaa wangu flani maeneo ya tabata ndo anazitengeneza. According tu yeye mwenyewe, anasema ni vindo vinachanganywa kwenye mafuta yakupikia hayo ya kutengenezea keki then yanachujwa (kuna viprocess kadhaa) then ndio wanaoka keki. Soon analeta product za weed clips, weed biscuits na keki nyingine zinazokua na ladha tofauti.

NB: Kula keki za vindo you don't instantly get high, until ile process ya digestion inapokua ina take process ndio unaanza kujiona high. Ila high effect ni ile ya ku smoke

Nchi nyingne kuna kitu kinaitwa MEDICAL MARIJUANA ambapo watu wanapewa prescription na madaktari (watu wenye seizures na magonjwa mengineyo) ambao bhangi imedhibitika kuweza kupunguza maumivu na kusaidia katika tiba. Katika watu ambao nimewahi kuwashuhudia wanavuta bhangi kwa macho yangu ni yule jamaa kijana tajiri mwenye officer yake pale ppf tower (anaendesha range), ambaye pia ni mbunge wa Singapore. Bhangi nibhangue
 
Last edited by a moderator:
CYBERTEQ kuhusu weed cakes, kuna jamaa wangu flani maeneo ya tabata ndo anazitengeneza. According tu yeye mwenyewe, anasema ni vindo vinachanganywa kwenye mafuta yakupikia hayo ya kutengenezea keki then yanachujwa (kuna viprocess kadhaa) then ndio wanaoka keki. Soon analeta product za weed clips, weed biscuits na keki nyingine zinazokua na ladha tofauti.
NB: kula keki za vindo you don't instantly get high, until ile process ya digestion inapokua ina take process ndo unaanza kujiona high. Ila high effect ni ile ya ku smoke,
Nchi nyingne kuna kitu kinaitwa MEDICAL MARIJUANA ambapo watu wanapewa prescription na madaktari (watu wenye seizures na magonjwa mengineyo) ambao bhangi imedhibitika kuweza kupunguza maumivu na kusaidia katika tiba. Katika watu ambao nimewahi kuwashuhudia wanavuta bhangi kwa macho yangu ni yule jamaa kijana tajiri mwenye officer yake pale ppf tower (anaendesha range), ambaye pia ni mbunge wa Singapore. Bhangi nibhangue

Hahahaaa, siyo huyo tu kaka, watu wanaminya vyombo vinawapa misimamo wapo kibao mkubwa, jani kwa afya, siyo jani na njaa kali! Huyo mchizi hizo keki ningezipata ningekuwa namnunulia wife wangu na katoto kangu ka kike, maana nakaona kama kanaharahati flani hivi, kana uso macho magum kinoma kakimwangaliaga kaka yake mwenyewe anagwaya, halaf sku moja nilikakuta kanajimiminia Martini yangu nikashangaa, sku hizi imebidi wine zote ziwekwe mbali na kufungiwa!
 
Hahaha, umenifurahisha mkuu.. Ni pm tufanye yetu.

'Emancipate yourself from mental slavery'
 
Mkuu unafananisha Bangi na Unga.

Naanza kwa Bob Marley kwa uchafu aliokuwa nao, Jimmy Cliff na wasanii wengine wavuta bangi kama kina Jah Kimbute, wewe na hiyo avatar yako si unajiona? Yaani sijawahi kuona mvuta bangi msafi hata siku moja na mwenye akili timamu.
 
Kubishana na ganja smokers hakuna mwisho. Ushauri ww unae ona bangi ni nzuri na ina manufaa kwa maisha yako anza kuielimisha familia yako pamoja na watoto wako mvute bangi weee na muendeleze kizazi chenu cha wavuta bangi. Tunaopinga bangi tuendelee kuipinga kwa nguvu zote hasa kwa watoto na wadogo zetu walio chini ya uangalizi wetu.
 
Naanza kwa Bob Marley kwa uchafu aliokuwa nao, Jimmy Cliff na wasanii wengine wavuta bangi kama kina Jah Kimbute, wewe na hiyo avatar yako si unajiona? Yaani sijawahi kuona mvuta bangi msafi hata siku moja na mwenye akili timamu.

Barack Hussein Obama
 
Mi nimeSmoke weed miaka hiyo mdogo wangu. Bangi sio kama Pombe inayokimbili chini.

Avatar yangu umeiangalia vizuri au unatumia Simu ya Tecno kijana?

By the way, username yako inanipotezea tu muda kumbe we ni Muha ambao ubishi hadi mtu anakushikia ukiondoka.
 
bange haina tatizo sigara ndio ikatazwe by the way, ukiona mvuta bange anazingua ujue hata asipovuta bange akili yake sio nzuri ni sawa na GUN DO NOT KILL PEOPLE, BUT PEOPLE KILL PEOPLE.
 
1. bangi haina addiction wala haijengi dependency, ukiikosa hupati alosto
2. bangi ina leta mood au inaongeza mood
3. haya madhara kma kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?

1. Ulichoandika namba moja ni uongo mkubwa - bangi is very addictive (hebu acha kuvuta siku moja utajua)
2. Hizo moods hata zikiwa evil ones - bangi inaziongeza na hivyo huongeza uhalifu katika jamii
3. hii ya kumbukumbu umetunga wewe - madhara ya bangi ni zaidi ya kumbukumbu

mwisho, nakushauri uende kwa daktari, kama una sababu ya muhimu kutumia bangi atakuandikia na utavuta ukiwa sehemu maalum sio katika public
 
dah!ndugu, umesababisha nimecheka sana baada ya kuvuta-picha ya shindao la Mlevi v. Mvuta-bangi! Jibu ni kwamba mvuta-bangi atashinda tu!
kuna yule bingwa wa magonjwa ya akili yaani vichaa wa muhimbili , alidai wagonjwa wengi na takwimu walizonazo ni kuwa ukichaa au magonjwa ya akili yanasababishwa na POMBE , yaani niliishiwa na nguvu kwani nami napiga nyagi kama sina akili nzuri , siku hiyo niliposoma hiyo habari nilienda nikakutana na washikaji nikawasimulia wali react na kunitukana kweli kweli kama mzushi niliwapa gazeti na wakajisomea uzuri wa bahati ni muhimbili na mzee yule bingwa namjua vizuri mzee wa kipare, sijui kama yupo hai mpaka leo . jamani mwenye kujua hili atufafanulie kidogo , tusije tukawa na wehu ambao haujalipuka ili ikibidi tuache mapema
 
Naanza kwa Bob Marley kwa uchafu aliokuwa nao, Jimmy Cliff na wasanii wengine wavuta bangi kama kina Jah Kimbute, wewe na hiyo avatar yako si unajiona? Yaani sijawahi kuona mvuta bangi msafi hata siku moja na mwenye akili timamu.
Hao wa mtaani kwako wanavuta cha rasi
 
Back
Top Bottom