Hiyo ya kupekuliwa bila kufuatwa kwa taratibu za kupekuliwa ni nzuri sana maana ukifika mahakamani ukamtaka Polisi aeleze namna alivyokupekuwa na atoe hiyo hati akishindwa hata ukikutwa na bangi utaachiwa maana kwa kesi za jinai lazima ushahidi unaotolewa mahakamani usiwe na shaka yeyote '' ndiyo maana hata kesi ya Jerry Muro ilikuwa haina tatizo kwani Polisi hawakukumbuka hayo yote ushahidi wa polisi walioupeleka mahakamani ulikuwa na mashaka.
Sijui unawachukia nini wale wanachuo? Your comments are very negative. Kiukweli wapo walioharibika na wapo walio wema, usihukumu wote. Ni Mola pekee mwenye uwezo huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.