MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 510
Wavuta bangi wapo Udom, kama ambavyo wapo Udsm, IFM, CBE, SAUT, maofisini, serikalini, mitaaani, jeshini na kwingineko! I wonder why hii ya udom imekuzwa hivi. Kwa kifupi hii vita imetushinda watanzania.
Wengi wetu tuna washkaji mtaani au hata ndugu ambao wanavuta bhangi, tumefanya nini kuwasaidia?
Tumesoma kwenye shule/vyuo huku tukijua wazi smoking points za wavuta bangi ni zipi. Tulifanya nini?
Acheni unafki hapa kujifanya mnashangaa wakati tumezungukwa na wavuta bangi kwenye maisha yetu ya kawaida na tumeamua kuwanyamazia!
Polisi hawezi kupiga vita dawa za kulevya wakati vigogo wanasupport, na wanatengeneza pesa kupitia huo uchafu. Na baadhi yao ni watumiaji wazuri sana.
Ukitaka kumaliza matumizi ya dawa za kulevya, dhibiti uingiaji au uzalishaji wake!