Chadema inaendeleza mchakamchaka huko Arumeru Magharibi zidi ya chama cha Mabwepande hii ni moja ya picha ya mikutano ya kati mitaa ya Bang'ata, mashambulizi yanaongozwa na Kamanda Nasari...
Timu ya kampeni iliyotupatia ushindi wa kishindo wa Nassary iliongozwa na Mchungaji Natse akisaidiwa na Vicent Nyerere ambao si wamsai lakini ccm walikiona cha moto.
Kwakuwa mashambulizi huko yanaongozwa na homeboy mwenyewe Nassary sina shaka kwamba lazima moto uwawakie ccm kwa mara nyingine. Millya anaweza akawepo katika kuchagiza tu lakini sio kuwa winning factor.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.