Bandari ya Eliat kusini mwa Israel hatarini kufungwa kutokana na mashambulio ya Houth

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,204
10,949
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Bandari hiyo kikawaida inajishughulisha zaidi na uingizwaji wa magani nchini humo na usafirishaji wa madini ya potassium kutoka bahari maiti.

Bandari hiyo ni ndogo kuliko bandari za Haifa na Ashdod zilizo bahari ya Mediterranean hata hivyo ni muhimu sana kwani ndio njia pekee inayoweza kutumika bila kutumia mfereji wa Suez.

Vile vile bandari hiyo ipo jirani na bandari pekee ya Jordan ya Aqaba.

Eilat Port to lay off half its staff due to Houthi attacks stymieing shipping trade

1710956539675.png
 
Inajua kinachoendelea Al Shifa Hospital mkuu
Alshifa kuna nini tena.Si walishaivunja na kuondoka.
Marekani ilitangaza kuna makao makuu ya Hamas na waliachwa wachunguze hawakuona kitu.
Watu wamerudi na wao wamerudi tena kuua wagonjwa na madaktari.
 
Wagonjwa wa kipalestina wako vizur sana. Wamelazwa na bunduki na maguruneti na wanaweza kujibizana na risasi wanatisha.
 
Kwa mujibu wa Hamas mapigano yanaendelea karibu na hospitali na kumbuka Gaza ni eneo finyu sana hiyo hospitali haiwezi kuwa mbali na maeneo ambayo Hamas wanafanya harakati zao.
Au kama una video ya wagonjwa wenye AK47 tuletee hapa.
 
Ok sisi tunasubir anaelia tunajua kichapo kimekolea. Kumbe mapigano yanaendelea karibu na hospital sio na unajua mazingira ya hospital yalivyo hawa ni kama kenge asikii mpaka atoe damu.
 
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Bandari hiyo kikawaida inajishughulisha zaidi na uingizwaji wa magani nchini humo na usafirishaji wa madini ya potassium kutoka bahari maiti.

Bandari hiyo ni ndogo kuliko bandari za Haifa na Ashdod zilizo bahari ya Mediterranean hata hivyo ni muhimu sana kwani ndio njia pekee inayoweza kutumika bila kutumia mfereji wa Suez.

Vile vile bandari hiyo ipo jirani na bandari pekee ya Jordan ya Aqaba.

Eilat Port to lay off half its staff due to Houthi attacks stymieing shipping trade

View attachment 2940323
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba? Iran na mashia wanamuita mke wa mtume kahaba? Halafu umma wa uislamu umekaa kimya tu.
 
Ukitaka kujadili habari za mama Aisha lazima kwanza wewe mwenyewe uwe muislamu.Kinyume cha hapo hatutaki huruma yako.
 
Ni dhambi (kabira) kuwatukana maswahaba. Ni dhambi isiyosameheka kuwatukana wake wa mtume peace be upon him hasa Ayesha kumuita kahaba.

Kumbuka Ali na wafuas wake walivyotaka kuwa caliph bila kufuata taratib za Allah.

Umma wa uislamu tusiendelee kukaa kimya wakati deen yetu kwenye dunya inatiwa unajis. Tutakosa janah na firdaus hivihivi tukiwaachia hawa makafir wa kishia kufanya kufr (blasphemy)

adriz Mufti kuku The Infinity mjingamimi hydroxo imhotep Jagina Sol de Mayo Accumen Mo
 
Ni dhambi (kabira) kuwatukana maswahaba. Ni dhambi isiyosameheka kuwatukana wake wa mtume peace be upon him hasa Ayesha kumuita kahaba.

Kumbuka Ali na wafuas wake walivyotaka kuwa caliph bila kufuata taratib za Allah.

Umma wa uislamu tusiendelee kukaa kimya wakati deen yetu kwenye dunya inatiwa unajis. Tutakosa janah na firdaus hivihivi tukiwaachia hawa makafir wa kishia kufanya kufr (blasphemy)

adriz Mufti kuku The Infinity mjingamimi hydroxo imhotep Jagina Sol de Mayo
Acha kujadili mambo yasiyo kuhusu ,hatuwezi kukujibu chochote Kwa vile wewe Galatia mada hizo hazina maslahi na wewe .
 
Katika hadith ya wagatha al makuntar makaveli anatutahadharisha kabisa umma wa uislam kukaa kimya kwenye hii sintofaham. Tukiendelea na huu ukimya tutakosa janah na firdaus hivihivi siku ya qyamah.
20240322_140147.jpg

100 others
 
Ndugu zanguni tunapotoa habari tusisahau kuweka source za uhakika ili watu wajiridhishe na kupata habari sio mtu analeta habari aliyoiokotoa kwa mihemko yake kwa kuwa inamfurahisha
 
Nakukubali mwamba ndo maana unajiita imhotep mkush kabisa.
Enzi hizo Dini zetu tulikuwa tunazo kabla ya Jihadi kuja kutuvamia.

Kwakweli sisi Waafrika Weusi tuzifufue Dini zetu za kale.

MUACHA ASILI NI MTUMWA Wahenga hawakuongopa.
 
Katika hadith ya wagatha al makuntar makaveli anatutahadharisha kabisa umma wa uislam kukaa kimya kwenye hii sintofaham. Tukiendelea na huu ukimya tutakosa janah na firdaus hivihivi siku ya qyamah.
View attachment 2941774

100 others
Mambo kuhusu mashia yamesemwa sana na yanasemwa na Masheikh kila siku mpaka vitabu vya kutahadharisha kuhusu wao vipo vingi sana.

Wewe Galatia kaa pembeni haya mambo hauna elimu nayo acha ushabiki bange .

#Nimemaliza
 
Back
Top Bottom