Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,797
Reaction score
18,037
Hii sasa ni sifa, yaani Yanga imekomba makombe yote ya msimu!
Screenshot_20250707-210310~2.png
 
#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
Makolo waweke banda lao, tuone kile kibegi cha makombe, na mwasibu wa JF awepo.
 
Back
Top Bottom