Balozi wetu Ubelgiji hana makuu!!

akifika tu ubalozini mwenzako anakamata benz

Unataka watu wazima kama sisi tuamini unachosema? huu ujinga utawaeleza watu wa vijijini kusiko na information na siyo sisi. Huyu bwana ana rasilimali nyingi mno mnoa na hata hiyo gari anazuga ila amezidisha kuzuga mpaka tunamshtukia. Kwa ufupi ulichoandika si kweli kuwa kamara anaishi maisha hayo duni kwani hata yeye mwenyewe asingekubali watu wagundue amefulia!!!
 
Tangia vacancy ilipotokea Belgium, mpaka balozi alipoteuliwa, mpaka alipomaliza kuzunguka "kuaga" marais watano na Waziri Mkuu, Wakuu wa majeshi wanne, Magereza, Polisi, Ulinzi na JKT, yapata mwaka mmoja sasa unakaribia.

Which means really hakuna kazi huko ubalozini, tufute nyingi ya hizi ofisi nje, zinatula hela ya kodi tu!
 
Dr Kamala mbona umepiga picha kwa nje kama kweli huwa unaendesha hiyo Nissan ingia ndani ya gari usiishie kufungua mlango.

Mkuu
Hii inaonesha nyie magamba hamuaminiani kabisa,

Nashukuru Mungu kwa kuchokoza hii mada..

Naendelea kupata facts!!

Tuendelee!
 
A very critical analysis.

Let's venture the world, kuna facts naziona hapa!

Nashukuru Mungu zote zinatoka Magambaz!!
Tangia vacancy ilipotokea Belgium, mpaka balozi alipoteuliwa, mpaka alipomaliza kuzunguka "kuaga" marais watano na Waziri Mkuu, Wakuu wa majeshi wanne, Magereza, Polisi, Ulinzi na JKT, yapata mwaka mmoja sasa unakaribia.

Which means really hakuna kazi huko ubalozini, tufute nyingi ya hizi ofisi nje, zinatula hela ya kodi tu!
 
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.

Kwahiyo hata viatu kauza? si umeona viatu vyake choka mbaya?
 
ha haa haaa! Dr Kamala bana acha kamba hiyo Nissan ndio unachoshea adui vipi ile Prado umeificha wapi?

Kweli, hizi ni kamba za wazi. Tizama nyuma ya Nissan utaona mkoko wa nguvu umepaki gereji...pale jirani na kitu chekundu kama nguo iliyoanikwa kwenye kamba.
 
Du, jamaa mtunzaji! Hiki kigari bado anacho tu! Nakumbuka alikinunua mwaka 1998 aliporudi toka masomoni Uholanzi wakati huo akiwa Lecturer pale Mzumbe. Alikuwa anatukongaje nacho? Mara anakuja kusimamia test pale NAH (Wembley) akiwa ameshika redbull mkononi anakunywa tartiiiiib, 'afu saa hizo hatuna boom. Jamaa ni bishoo sio pole pole, labda awe amekua akaacha siku hizi.

hana makuu hata nyumba yake kijijini ni ya kawaida kabisa. Nipo jirani naye. Believe it ni wa kawaida kabisa hapa kijini.
 
Jamani hizi ni kampeni tu, halafu jamaa anatudanganya. Ukiangalia hiyo picha vizuri kuna gari nzuri tu imepakiwa kwenye parking nyuma ya hiyo nissan.
 
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
Sema mengine ila hana magari mengi, ukichukulia kuwa alikuwa mbunge kwa miaka kumi na waziri. Mkewe ambaye ni muajiriiwa anatembelea Noah old model na walikuwa pia na nissan terrano old model kabisa. Sasa sijui gari nyingi zipi unaongelea. Na kumbuka hawezi kuwa na kipato kidogo kiasi hicho ila analinganishwa tu na wenzie waliokuwa na vyeo kama vyake.
 
siamini watu wote ninyi na akili zenu mnamjadili Kamala badala ya kujadili mustakabali wa Tanzania?
 
Nshomile huyu ninayemjua mimi ana makuu ya kutosha, tena ya kishamba. Aache propaganda za kihuni. Nadhani ile Vanilla lodge pale Mji kasoro bahari ni ya kwake au ni shareholder mkubwa. Huyu bwana anapenda magari ya kifahari. Hayo ni maigizo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom