Balozi wetu Ubelgiji hana makuu!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Mheshimiwa Dk. Diodorus Kamala. Anaishi Msamvu, nyumba ya jirani na Bi Mkora wangu. Jana usiku nilipiga stori na Balozi Kamala, tumekuwa marafiki. Na picha hizo ni leo asubuhi. Balozi anajiandaa kwenda Dar es Salaam kwa Nissan yake na mimi punde naelekea kibaruani kwangu , Bigwa, nje kidogo ya Morogoro Mjini. Namtakia Balozi Kamala, safari njema ya Dar na Ubelgiji.:smile-big::Cry:

SOSI: Mjengwa! Msininukuu mimi Kiganyi wa JF!
 
msikilizie akirudi kutoka huko ubelgiji mwaka 2015 utuletee picha zake na gari zake hapa ..na je kabla ya kuteuliwa alikuwa wapi?
 
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
 
Amekuwa waziri kwa miaka kadhaa, hakuwa na maarifa ya kujipatia angalau gari linalofaa? Hivi tukimuamini huyu anaweza kuwa na maarifa ya kuwapatia watanzania maendeleo?
 
Kweli hana makuu kwani hata kiatu chake kimepinda kwa sori kuishaaaa

ha ha ha! naona hata kapungua uki compare na kipindi alipokua waziri afrika mashariki sa sijui diet amando kufulia..kahh hata ukuta hauna chuping..
 
Acha 'sound' Kamala huyu huyu tunaemjua au? kama ni gari hata mimi naweza piga na HAMMER halafu caption ikasema langu,hata hivyo kama ni kweli basi ni vizuri!
 
Mheshimiwa Dk. Diodorus Kamala. Anaishi Msamvu, nyumba ya jirani na Bi Mkora wangu. Jana usiku nilipiga stori na Balozi Kamala, tumekuwa marafiki. Na picha hizo ni leo asubuhi. Balozi anajiandaa kwenda Dar es Salaam kwa Nissan yake na mimi punde naelekea kibaruani kwangu , Bigwa, nje kidogo ya Morogoro Mjini. Namtakia Balozi Kamala, safari njema ya Dar na Ubelgiji.:smile-big::Cry:

Uwe unaweka source watu wanafikiri ni picha zako kumbe umezitoa hapa Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo Utashitakiwa kwa wizi wa kazi za watu!
 
Du, jamaa mtunzaji! Hiki kigari bado anacho tu! Nakumbuka alikinunua mwaka 1998 aliporudi toka masomoni Uholanzi wakati huo akiwa Lecturer pale Mzumbe. Alikuwa anatukongaje nacho? Mara anakuja kusimamia test pale NAH (Wembley) akiwa ameshika redbull mkononi anakunywa tartiiiiib, 'afu saa hizo hatuna boom. Jamaa ni bishoo sio pole pole, labda awe amekua akaacha siku hizi.
 
:yo: Tehetehetehe!!
 
Kamala hana makuu kabisa namfahamu fika kabisa.

Kuanzia nikiwa nasoma Mzumbe sekondari wakati huo akiwa assistant lecturer Mzumbe chuoni, alikuwa na kapikipiki kake aina ya vespa baadae akaenda UK kusoma aliporudi 1998 akaja na gari hii hii ambayo nimeshangaa kuona hapa kwamba bado anayo mpaka leo hii. Kamala ana familly ethics nzuri sana. Yeye na mke wake ni wacha Mungu wazuri sana, wanaingilika kwa uraisna watu wa aina zote, kada zote, na sistaajabu kuona maisha yanamnyookea.

K
 
mheshimiwa dk. Diodorus kamala. Anaishi msamvu, nyumba ya jirani na bi mkora wangu. Jana usiku nilipiga stori na balozi kamala, tumekuwa marafiki. Na picha hizo ni leo asubuhi. Balozi anajiandaa kwenda dar es salaam kwa nissan yake na mimi punde naelekea kibaruani kwangu , bigwa, nje kidogo ya morogoro mjini. Namtakia balozi kamala, safari njema ya dar na ubelgiji.:smile-big::cry:

sosi: Mjengwa! Msininukuu mimi kiganyi wa jf!

masalaia ya nyerer haya. Kuna porf. Mmoja sua naye ni balaa, mpaka leo anamiliki baiskel tu. Aliwahi kupewa tv kubwa kwa kufaulu vizuri urusi, tv kakabidhi chuo.

Kuna mwanae ambae alikuwa nasoma kozi yake, alisap mara mbili somo la baba yake
 
Pamoja na kugawa hela hovyo, alipigwa chini ktk kura za maoni ccm 2010, kwa kushika nafasi ya tatu ktk harakati za kutetea nafasi yake ya ubunge!! Hakuwa anakubalika jimboni kwake, makuu anayo sana.
 
Amekuwa waziri kwa miaka kadhaa, hakuwa na maarifa ya kujipatia angalau gari linalofaa? Hivi tukimuamini huyu anaweza kuwa na maarifa ya kuwapatia watanzania maendeleo?

Maarifa gani? Wakifanya maarifa wakajipatia ma mercedes ya ukweli mnawaita mafisadi, damned if you do, damned if you don't?
 
hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.

pia anamiliki gest house moja hapo morogoro.

Hiyo nyumba yake ina mpaka heater ya maji halafu unasema hana makuu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom